Jaman c amekopa?hoja yako nn?amekopa atalipa!katafute tuhuma nyngne mpaka mutaishwa zote then ndo mtapoteana
Ritz,Kuna umuhimu wowote Dr Slaa kukopa pesa za ruzuku. Kwa nini asiende kukopa benki.
Katiba ya chama inasema je?
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.

Masanilo unaweza niita gamba ni kwa maoni yako...hatuwezi kujenga chama kwa kusifia kila kitu hata kama ni nje ya katiba ya chama....kwa taarifa yako mimi sio gamba nawachukia magamba laikini kwenye ukweli lazima tuseme..acheni unafiki.tutakuwa hatuna tofauti na magamba ambao wanasifia kila afanyacho JK hata kama ni upuuzi,hatuhitaji kufika huko
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Mjadala katika hili una manufaa hasa unapomhusisha Mtu anayetajwa kuwa ni miongoni mwa ''Presidential Contenders'' watarajiwa kwa ajili ya kupima credibility yake.Gesi inaondoka mtwara ishachukuliwa na mafisadi. Tembo zaidi ya 60 wanakufa kila saa, madawa hakuna hospital, umeme siobwa uhakika. Vipi kijana unajadili masuala yasio na manufaa kwa nchi yako na kuacha hayo hayana jibu? Dai haki yako vinginevyo na wewe ni walewale mafisadi so hutuambii kitu.
Mjadala katika hili una manufaa hasa unapomhusisha Mtu anayetajwa kuwa ni miongoni mwa ''Presidential Contenders'' watarajiwa kwa ajili ya kupima credibility yake.