Sijamuelewa kabisa huyu...

Lazma gari ni mpya hii. Huhitaji kumuelewa, acha ajienjoy.
 
anataka kujaza upepo tairi
 
Huyo ni BLONDE (mwenye nywele nyeupe)...Kwa wenzetu wazungu wengi wa hawa madada wenye nywele za rangi hizi hujulikana kwa UZURI WAO WA SURA NA UPUMBAVU WAO WA AKILI......
 
Wote mmekosea. Huyo mtoto analamba vumbi kwenye tairi. Nadhani keshapigwa na kufungwa bao tayari. Si unajua ikiishaingia ile kitu na kung'ang'ania!
 
Hapo anang'arisha hiyo rim ya silver kama vile mtu anapong'arisha miwani,itakuwa ni gari mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…