sonaderm
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 618
- 1,816
Huyu mama pamoja na kujitutumua lakini nimeshindwa kumuelewa kabisa..Hii ni aibu ya karne na sijui kwa nini amelazimisha kuongea lugha asiyoijua au kwa sababu yupo aljazeera?!alitaka aonekane wa kimataifa?!bado sijamuelewa kabisa..
Nafikiri kuna haja ya kukitangaza kiswahili kimataifa na tukubali kiswahili ni lugha yetu nzuri..Nitoe wito kwa Viongozi wetu kuwa mtakapokuwa nje toeni hotuba zenu kwa lugha ya kiswahili..huyu mama katia aibu sana..Kuanzia sasa hata mie nikienda ulaya nitaongea kiswahili full time ili nao watafute wakalimani...