Sijamuelewa huyu jamaa

banizle

JF-Expert Member
Dec 15, 2008
217
58
Hivi kuna biashara gani ommy dimpoz anafanya ukiacha muziki, maana sioni huu muziki anaoufanya unaweza kumfanya atanue namna ile mara ibiza, mara spain kama anavyopost kwenye page zake.
 
Tatizo lenu mnadhani mtu akipata 1m basi anaiweka ndani,sio hivyo wanazizalisha na ndio maana hata wasanii wa nje wanamafanikio makubwa kwa maana ya kuwekeza sio tu muziki wasingekuwa hivo walivyo.
 
Mara Ibiza, mara Spain? Kwani Ibiza ni wapi?

Ibiza ni kisiwa maarufu sana ,kiko spain yaani huko ni kula bata mtindo moja na starehe zote zilizoko duniani ziko ibiza.karibu sana ibiza ule raha
 
Ibiza ni kisiwa maarufu sana ,kiko spain yaani huko ni kula bata mtindo moja na starehe zote zilizoko duniani ziko ibiza.karibu sana ibiza ule raha

Ukunielewa, mleta mada kasema mara Ibiza mara Spain, mi nikamuuliza kwani Ibiza ni wapi?
 
Nadhani yupo kwenye mipango ya kimaisha labda kuonana na stake holders.. Tujaribu ku think positive jamani..
 
Labda kapeleka 'viuwatilifu' Spain...si unasikia kuwa huko ni 'makutano junction' ya Mastaa na Wenye nazo...na ambao ndio wateja wazuri wa Viuwatilifu?
 
Hivi kuna biashara gani ommy dimpoz anafanya ukiacha muziki, maana sioni huu muziki anaoufanya unaweza kumfanya atanue namna ile mara ibiza, mara spain kama anavyopost kwenye page zake.
aa6b93a92550c18f168f53b3c2314ef9.jpg
 
Huyu jamaa anasauti nzuri sana ya kuimba..Naona kama amekata tamaa ya mziki..Au anajipanga kurudi kama Jide..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom