Sijamuelewa Edward Lowassa

Zile fulana za njano zilikuwa DONATED by EL,na kwa upande wa nyuma zimeandikwa

"BODA BODA DAY-donated by Edward Lowassa"

Happy noel
 
Mbona mnakuwa na utumwa huru, kwani kofia si jambo la kawaida, acheni majungu

t-shirt walizo pewa zimekua donated na edward lowasa.
Pia nasikia ndiyo watu wake atakao kuja kuwatumia kipindi chake cha kampeni. Kwaiyo ndio anawaanda na kuanza kuwatraining pasipo wengine kufahamu kama ilikua na mkakati kabambe wa lowasa katika harakati zake za kusaka urais.
 
Zile fulana za njano zilikuwa DONATED by EL,na kwa upande wa nyuma zimeandikwa

"BODA BODA DAY-donated by Edward Lowassa"

Happy noel

wengine tulipewa ela ya mafuta.
Binafsi sijajua imetolewa nanani kati ya lowasa au ama la lugwe ambaye ni kiongozi wa CLOUDS. Sijajua kama na yeye lugwe na yeye ndiyo ameanza kampeni ama laa,ila nilisikia na yeye anatarajia kuja kugombea ubunge.

Ila nashukuru kwa kuniwish xmas njema.
Na wewe nawatakia xmas njema na khery ya mwaka mpya
 
na hawa waandishi wa habari ndo makanjanja wanaompaka mafuta huyu mtu mchafu,time will tell!

nikweli mkuu. Wandishi kama pasco,denis wa mwanachi na wengineo wote wanaoitwa wandishi pro ufisadi.
Kiukweli ni majanga kwa mustakabali wa taifa letu
 
Mwacheni Lowassa msimsakame japo mimi naona mnazidi kumuongezea umaarufu, suala la yeye kugombea uprezdaa mbona ni kawaida tuu kwani hata wale wooote wanaopiga ndogondogo wanafahamika hadi babu na wenzake wanafarakana kw ajili hiyohiyo?
 
Mbona mnakuwa na utumwa huru, kwani kofia si jambo la kawaida, acheni majungu

Kwako wewe mbumbumbu ni jambo la kawaida. Kwa werevu kama mimi na wengineo hapo kuna walakini. Kama vipi chukua hata kofia ya Jwtz, wakati wewe hata likuruta hukupitia.Then katiza nayo mitaa ya Lugalo ama kwingineko palipo na "watoto" wa Mwamunyange. Hapo ndipo utajua kuwa kuvaa kofia kiholela ni sawa ama laa kenge wewe!
 
mkuu achana nae. Kwani amezidiwa na mahaba ya lowasa. Mbaka anashindwa kutofautisha shughuri ya kichama na ya kitaifa.
 
Mbona mnakuwa na utumwa huru, kwani kofia si jambo la kawaida, acheni majungu

mkuu,kwanza tambua lile ni tamasha lenye sura ya kitaifa.
Kwaiyo ile kofia aliyoiva imeondoa dhana dhima ya utaifa. Zaidi inaonyesha lile nitamasha lililo andaliwa na lowasa na amelifadhiri yeye kupitia uwepo wakina luge wa clouds.
 
Hata wewe unaweza kutumia magwanda kulalia
 
Marehemu baba wa Taifa ndg. Nyerere alisha mkataa.Hao wanao mpigia debe wana ganga njaa,2015 watamkimbia.
 
Mwacheni Lowassa msimsakame japo mimi naona mnazidi kumuongezea umaarufu, suala la yeye kugombea uprezdaa mbona ni kawaida tuu kwani hata wale wooote wanaopiga ndogondogo wanafahamika hadi babu na wenzake wanafarakana kw ajili hiyohiyo?

kwa wewe kiti moto kuliwa msikitini ni ruksa na wala si haramu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…