Sijamuelewa Edward Lowassa

hata mimi sijamuelewa si bora angevaa "helment"

kunakitu alikuwa anamaanisha. Ila amejiaribia,nahisi angesema nitamasha litakalo beba sura ya uccm nahisi watu wasinge kuwa wengi.
 

KASHFA YA RICHMOND IMEMTAFUNA SANA MZEE WA WATU , hadi MAMBO YA KITAIFA ANAYAVALIA SARE ZA CCM .
 
vijana wa mjini wametambua kwamba LOWASA anamwaga mahela , kwa hiyo walikuja kuzitafuna halafu WAMTELEKEZE ! hakuna atakayehangaika na fisadi aliyethibitishwa na bunge .
 

ila aise we ni noma!!!kwa kamba nimekunyoshea mikono juu,
 
Kila jambo wanataka kuingiza siasa ili wapate wafuasi wengi wa kuwasapoti.

mkuu ninauwakika,laiti kama mh. Lugwe na lowasa wange sema ni tamasha linalowahusu wanachama wa ccm,sidhani kama wangeweza kuwa wengi kama vile.
 
Bwana mdogo ni jukumu la waandaa kongamano kuchagua mgeni rasmi........hata hivyo lowassa ni Kiongozi mahuhuri na mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi.........CCM ina viongozi wengi na wana majukumu tofauti.......,najuwa angekuwa chadomo angelaumiwa ni mbinafsi,msaliti na mhaini.
 

Inategemea alienda kukutana nao akiwa amevaa kofia gani, kwa maana ya authority. Kama alienda kukutana nao akiwa kama Mbunge mkereketwa wa CCM, alikuwa ana haki ya kuvaa hata FULLsuit ya CCM, achilia mbali kofia peke yake!
 

tayarisha lako uvae kofia ya taifa kama zitto

acha ujinga, yule ni lowassa na wewe ni nobody ndio maana hauoni unachowaza wala kufanya

tatizo ni nini??? acheni ujinga

unaendesha bodaboda?? kulikuwa na TOR ya kumwamboa asikitangaze CCM??

hivi watanzania huwa wanawaza nini hasa??
 
CCM na midahalo usitegemee hua wana kimbia halaf wanashinda kwasababu moja tu,wenyewe ndo waneshikilia dola (wataiba kura).
 
nchi ya wapumbavu, jamaa anawekeza kwenye vichwa vya wapumbavu katika nchi ya kipumbavu na atarejesha kile anachowekeza atakapofika pale magogoni kupitia wapumbavu. inuka ukimbie.

 
Inategemea alienda kukutana nao akiwa amevaa kofia gani, kwa maana ya authority. Kama alienda kukutana nao akiwa kama Mbunge mkereketwa wa CCM, alikuwa ana haki ya kuvaa hata FULLsuit ya CCM, achilia mbali kofia peke yake!

ameva kofia ya ccm.wewe unapata picha gani?Binafsi ningemuona wa maana endapo angevalia ile suit yake aliyoiva kwani inaonyesha shughuri iliyopo pale ilikua inasura ya kitaifa(suit yenye rangu za bendera ya taifa).
 

hahahaaaaaaaaaaaa.....! you have know nothing....! ni khery kunyamaza
:der:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…