Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,287
Serikali ilisema hapo kabla ya kwamba DP World ataendelea na biashara pale bandarini dar, hii ilikuwa kabla ya msimamamo wa bunge wa episode 2, ikumbukwe msimamo wa bunge wa episode 1,ulipitisha na kuunga mkono Dp world apewe kazi za kuendesha biashara ya bandari zote za Tanganyika, huu ulikuwa msimamo wa bunge episode 1.
Episode 2 ,bunge likakataa kuridhia ombi la serikali la marekebisho ya sheria za usimamizi wa maliasili za Tanganyika . baada ya huu msimamo wa bunge episode 2 ambao umeungwa mkono na Watanganyika almost wote, na ndicho kilikuwa kilio Chao.
Ila serikali haijatoa tamko juu ya nini kinaendelea ,je Dp world atapewa ule mkataba hivyohivyo kimyakimya, au ndoa hii ya mkataba wa hovyo imevunjika rasmi!! Watanganyika na watanzania wanataka waambiwe waziwazi nn hatma ya huo mkataba?
Serikali acheni ukimya na usiri, tokeni nje mtueleze nn kinaendelea ili roho za watanganyika na watanzania wote zitulie.