Sijajua sababu inayofanya Vijana wengi hapa JF kunichukia ni ipi!

Huenda huko kujieleza ndipo kunafanya wakuchukie ila ww ni mkongwe hapa jf tambua kama mtu hakujui na hahusiani na ww akikuchukia ni kachukia id yako tu sio wewe. Unajieleza sana unaichukulia jf serious sana
 
kichwamaji wewe.tuambie unakitugani ili tukuheshimu au unataka tukuheshimu kwakutunga kwako stori zauongo?

rudia kaziyako yakusajili laini ili uwebize mana shule ilikushinda wenzio tunaitwa mainjinia wewe unaitwa stol tela
Mhandisi hajui kuandika story teller! Ni bahati mbaya Umughaka yuko katika nchi inayozidi kulaaniwa na ccm. Kwa uandishi wake na zaidi uzoefu wa maisha yake, usingeshangaa angeandika kitabu (novel), au ungeangalia sinema (movie) na zote zingekuwa na kibwagizo "based on a true story", kama angekuwa kwenye nchi zinazojitambua.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
una matatizo ya akili
 
Mpuuzi ww watu wa Mara hasa wakurya hatuna tabia hizi hizi tabia zako za kijita au kizanaki usilete huku Jf kuwachafua wakurya Genta Una shida gani kwani?
 
Nambie Umumbua kitu gani na sayansi zako halafu nitakuchikia.
 
Watu wajifunze hapo kushika moja mpaka mbili maisha yote na kuikosa Digirii si mchezo Rungu lilitembezwa hasa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…