Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,411
- 31,399
Wapinzani wana asset nyingi , tatizo lao ni hili la kushindwa kuziweka na kuzitumia kikamilifu
Ben Saanane kaeleza vizuri sana kuwa alishiriki katika meza ya majadiliano kisiasa na kidiplomasia
Kwa kutambua hilo , kuna nyakati anatakiwa awe sehemu ya suluhu na si tatizo
Watu wajifunze utamaduni wa kukubaliana, kutokubaliana na kukubaliana kutokubaliana bila vurugu,chuki au hasira
Sion kwanini watu wasema Ben 'hajamshambulia mtu'' . Hakuna ulazima wa kushambulia tu ili afurahishe watu
Kwa Ben Saanane, wanaoomba kushambulia na wanazusha maneno dhidi yako, hilo si jambo baya.
Maana yake wanakupa 'vote of confidence' kwamba katika masuala kadhaa , wangependa kukisikia.
Unachotakiwa si kusema wanachotaka kusikia . bali kile unachotaka kuwaambia