sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hahaha ni kweli ndugu yangu ntasubiri sana maana all I see here is just politics basi
Umeonae?
Hahaha ni kweli ndugu yangu ntasubiri sana maana all I see here is just politics basi
binafsi sijawaona hawa wanaohesabu na siku zimeisha sasa-nitaingia kwenye group la "estimation"hivi kwa nini huyu JK ni failure kwa kila kitu? hivi inakuwaje mimi mpaka dakika hii sijahesabiwa? au Chadema hatuhesabiwi?