Hata ukimuita mwendawazimu......"we kichaa njoo" hatakuchekea, Makinda hajijui kama ni bogus na aliwekwa na wale waliotaka Sitta atoke; cheap prize. Namhurumia kuuvaa mkenge ataumia sana hadi kuifikia 2015
Huyu anataka atufanye tuelewe kuwa wanawake hawana uwezo wa kuongoza
kabisa , kwa sababu huyu ndio the best kuliko wote , i mean huyu ndio wamemuona kuwa ni kichwa kuliko wanawake wengine sio?
Sasa hivi watu wengi wameamka kisiasa na wameshajua majukumu yao kisiasa, hali hii ndiyo inafanya ionekane kama kiti cha spika kinapwaya lakini ukweli ni kuwa hata angekuwa nani mambo yangeenda vivi hivi kwani kinachotakiwa ni kufuatwa kwa taratibu na sheria zilizowekwa ili kuliongoza bunge. Baadhi ya mabunge mengine Bunge ni eneo la kawaida la masumbwi ila bunge letu bado hatujafikia huko hivyo hakuna sababu ya kuona kuwa huyu mama hawezi.
Kazi ya kuongoza wanasiasa ni ngumu sana.