Sijaelewa

ndo tatizo la kutongoza under 18...otherwise it doesnt make any sense.
 
Ivi wanawake kulinga linga wakati wanatongozwa wanafanya makusudi au ni kujifnya hawataki wakati wanataka. Mara simu kakata, mara majibu ya mkato, mara nimechoka siwezi kuongea, mara kazima simu etc. Japo kwa wanaume huongeza mungari ya kumpenda sijaona maana yake. Kama mtu unamzimia si umpe jibu mapema kwamba umemzimi kuliko kumhangaisha mwanamume kiasi hicho wakati kitu unakizimia. Acheni hizo.

Smati hao wanatingisha tu kibiriti, uko kundi gani vile???
 
time will tell usihangaike kiivyo manake kama kukubaliwa /kukataliwa tayari ilishafanyika kimoyomoyo
 
Bila hayo maringo ingekuwa balaa basi umepigiwa simu mara moja tu tayari mguu upande khaaaaa!!!
 
She is playing hard to get!.. jipange upya!.. huyo mbona wako tu... usikate tamaa kama unampenda
 
time will tell usihangaike kiivyo manake kama kukubaliwa /kukataliwa tayari ilishafanyika kimoyomoyo

Tatizo atanidanganya hadi baadaye atafeel gilt , akijua labda najua hataki. Kuhangaika ni kwa kawaida kwa wadada, kwani someyimes mnatoa hadi machozi wakati jibu la kutoa mnalo. basi ndoo Mungu alivyo waumba.
 
Bila hayo maringo ingekuwa balaa basi umepigiwa simu mara moja tu tayari mguu upande khaaaaa!!!

Wanaume hatuwezi kuwa driven na wadada. kama unampenda mkaka ni nyema kuonyesha humpendi hivi, siku atakutokea tuu na ndipo mnaanza sasa mapozi, utafikiri hamtaki kabisa. Na tukisha waona na sisi tunaanza mapozi, mtatutafuta usiku kwa simu hadi mchoke.
 
She is playing hard to get!.. jipange upya!.. huyo mbona wako tu... usikate tamaa kama unampenda
Hapo umesema, ila si vizuri kuingia migugu yote. Mguu mmoja ndani mmoja nje, kitu kikigoma unauchomoa kirahisi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom