Sijaamini nilichokiona

Sijaamini nilichokiona

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Naona leo Ni MAJUTO TU humu
[emoji3][emoji3][emoji3]...Jamani nafasi ya mtu wakunishika miguu nikifanya mazoezi yatumbo bado ipo wazi... Alie tayari aje PM

MTAKOMA kuchukua ushauri wa PIGA CHINI HUYO.
 
STRUGGLE MAN

Alinitesa Sana mkuu mpaka ikafikia hatua nikachukua maamuzi magumu kama hayo
So nilipomuacha akaona umuhimu wangu ndipo akaanza harakati za kutaka nimrudie na nilipokutana naye alikua kaisha sana

Ndipo nilikuja humu kuomba ushauri ili nijue naweza kumrudia

Member wakaniambia anafuata hela huyo shida zimepiga

Soo niliamua niachane naye, sasa leo nimemuona akiwa na boyfriend mpya na inavyoonyesha wametoka hospitali itakua jamaa kamjaza teyali.
 
Mwanangu wa kiume akija kuniletea pozi za kipuuzi kama hiza....
Aisee, nitampa kichapo heavy, hadi akili imkae sawa ...dadadeki
 
Kijana...
Umeawatia hasara kubwa sana wazazi wako..
 
mapanga25
Najua haiwezi kujirudia hivyo nimepata fundisho
Halafu mapenzi haya utu uzima mkuu, hata wakutushauri nao wanaumizwa
 
Mr Devil
Nilimuacha kwa kukwepa maumivu na vioja alivyonifanyia
Kumbe nilikua na umuhimu sana kwake,
Kwani hata baada yakumuacha alikonda sana na kulazimisha nimrudie
Ndipo nikaja hapa kuomba ushauri wa kumrudia but member wakaniambia niachane naye.
 
CreditAnalyst

Tambua humu nikisima cha ushauri lakini
Kama jambo limeshindikana huko huku litapata ufumbuzi
I love @jamiiforum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom