Sijaamini nilichokiona

Sijaamini nilichokiona

Mkuu ikitoka imetoka ,wanasemaga ukisema cha nn wenzako wanawaza watakipata lini. Mi nikiachanaga na mwanamke hata aweje atajijua mwenyewe ,nshamaliza ,sjabakiza kitu,nlishaona kawaida upya unatoka wapi tena?,kwanza wanazaliwa kila siku afu wazuuuuuuuri
 
Wakuu habari,

Hakika maisha yanabadilika kwakweli, kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano then yakavunjika na chanzo Niyeye ndiye alisababisha niyavunje, kama mtakumbuka niliwahi kuja na thread hapa iliyokua inasema" nilichokiona kwa x girl friend wangu"

Wengi walinishauri niachane na yule binti kutokana na yale niliyaeleza, basi waswahili wanasema wengi wape ninafanya hivyo ingawa aliendelea kunisumbua ili nirudiane naye lakini nilitia ngumu na nikamblock

Sasa siku zikaenda miezi ikaenda hii Leo nimekutana naye tena yupo na boyfriend wake mpya aisee ilinibidi nijibanze sehemu kwa kujificha ili nihakikishe Niyeye

Ebhana kumbe Niyeye, mtoto kasuka raster zake bomba kabisa kavaa gauni imemtaiti safi kabisa shepu nje nje, nikajikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio huku kawivu kakinijia.

Asee najuta kuchukua ushauri wa member wa humu ni bora ningemrudia demu wangu mie, ona sasa kakutana na wengine wamempendezesha mpaka nione donge
Wakuu nimeamini Dunia duara ila yote na yote niwewe uli7bisha nika break mahusiano my ex girl friend. Nakutakia maisha mema[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji3516]
KADI YA CHAMA YA CHAUMMA UNAYO MKUU??

TUANZIE HAPO.
 
STRUGGLE MAN

Alinitesa Sana mkuu mpaka ikafikia hatua nikachukua maamuzi magumu kama hayo
So nilipomuacha akaona umuhimu wangu ndipo akaanza harakati za kutaka nimrudie na nilipokutana naye alikua kaisha sana

Ndipo nilikuja humu kuomba ushauri ili nijue naweza kumrudia

Member wakaniambia anafuata hela huyo shida zimepiga

Soo niliamua niachane naye, sasa leo nimemuona akiwa na boyfriend mpya na inavyoonyesha wametoka hospitali itakua jamaa kamjaza teyali.
[emoji23][emoji23][emoji23]pole za kuambiwa chaganya za kwako in kikwetes voice, humu watu hudaganya Sana wenzao usipokuwa timamu inakula kwako.
Acha jamaa ampendezeshe, kamwe usimwache mtu ambaye unampenda bado
 
Milembe fungueni matawi na mikoa mingine wateja ni kama wooote [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] waiter harakisheni supu hiyo na konyagi ndogo[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] #Awoooote
 
Naona nyaya za hasi na chanya ziko loose, hapo gari haiwezi kuwaka au kuna fuse imekata kwenye control box...[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom