Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 917
- 597
Wataalamu hebu nifafanulieni hapa wanataka niwalipe au wanataka wanilipe?
Hapo uliweka Facebook Ad, halafu haukuwa na pesa ya kutosha katika Visa Card yako. Kwa hiyo wamekujibu hivyo.