😂😂😂😂 mwamba kama mwamba, lakini umezingua kumwacha, mgagagigikoko mwenzangu😂😂😂😂Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa[emoji35] .
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Dem alizingua kwa kiasii chake...... Mwanaume akikuulza for date mwache achague eneo.... Hata akikukomalia mwambie wewe nipelk unapoona panafaa sasa yeye kachagua sehem iko expensive ama jamaa hajaikubalIla wewe pia jinga sana. Ulivyoambiwa chagua ungechagua sehemu ya bei rahisi... angalia sasa malengo yako hayajatimia... jamaa kafakamia MSOSI WA NDOTO ZAKO. Halafu wanawake mnaopenda kiswanglish huwa mnakera balaa. Mimi ningekupeleka Holiday Inn lakini ungekunywa maji tu.
Kaka huyu manzi mshenzii...... Eti kafuta namba angekaa chini amuulze ata ki utani tuu Ila Mimi hapa naona jamaa Kuna kitu alkuwa anaangalia......Mmeona jamani jinsi BIDHAA inavyouzwa kwa Ghali?
Hapa MUUZAJI wa BIDHAA amekasirika amekutana na MNUNUAJI ambae anauchungu na Pesa yake.
Ila Muuzaji wa BIDHAA hana CUSTOMER care nzuri alipaswa aitunze hiyo number just incase next time aweze KUVUNA/KUPUNUSA fedha za Mteja.
Na toothpick wanavunjiana 😂😂😂Kuna jamaa mmoja yeye husema akitoka na dem anaagiza chips kavu moja wanashea na glass ya juice 1 mirija miwili 🤣🤣🤣🤣
Dem njaa huyoo hv mwanaume utoke nyumbn kabisaa unaenda date..... Afu huna ela siamin.... Kweny falsafa apo akili ya mwanaume Kuna kitu iltaka ipate from that gal..... Na inaonekn Dem hisia ndo ziko mbele kulko akiliNchi kama US ukitoka date na demu basi malipo ni 50-50 mademu wa kibongo akipata Boy friend ndio anaona kama amepata ajira!
Huyo Mwanaume ndio wa level yako,kama ukibahatika ukampata wa level ya juu kidogo basi na yeye atakutema.
Hao watu ukiwa nao lazma akili ikukae Sawa... Ukisahau wallet once iwe bahati mbaya kweli siku nyingine mkitoka anakwambia "Don't forget your wallet honey 😄😄".... Ndalandefu anajua muda wote wallet inatema Tu, ya kwake haihusiki 😂😂Niliwahi pata kasheshe ya kufa mtu. Nilikuwa bado mgeni mgeni. Profesa wangu alikuja akanikuta nimekaa sina hili wala lile akaniambia SYB let's go grab some lunch. Sasa nikafikiri kuwa kwa vile yeye ndo kaniambia basi atakwenda kulipa bila shaka.
Tumepiga msosi tumemaliza namwona huyoo amekwenda akalipa bili yake huyoo akatoka nje kunisubirisha. Na mfukoni sikuwa hata na wallet. Kikawa kimbembe!
Ndiyo nikajifunza utamaduni wao. Hata binti ukimtoa out anakuja amejiandaa kulipa nusu labda uwe muungwana umkataze. Na hii inasaidia sana mtu kutoagiza wines ghali hizi za $100+ kisa tu kaona kuna mtu anamlipia. Nilipenda sana utamaduni wao huo.
Sisi huku ukimpata mtu limbukeni ambaye hana exposure ukampeleka sehemu ya maana basi anaona leo ndiyo kapata bahati. Ataagiza vitu ghali ambavyo angekuwa yeye ndo analipa asingevigusa.
Ila kama uko vizuri na ukamhakikishia mtu kuwa aagize cho chote, siyo vizuri tena kuja kumgeuka kama jamaa yetu alivyofanya. Na mabinti wenye uzoefu atamwacha kwanza jamaa aagize na yeye atachukua hints kutoka pale. Na kama wamezoeana anaweza tu kuuliza point blank kwamba una uhakika naweza kuagiza cho chote?
Na wakati mwingine anakutoa yeye na analipa kila kitu. Na anakwambia kabisa kuwa leo huna hata haja ya kubeba wallet. Wako wawazi sana na hakuna surprises. Ukimkataza anakuona kama umemdharau labda kwa vile ni mwanamke...Hao watu ukiwa nao lazma akili ikukae Sawa... Ukisahau wallet once iwe bahati mbaya kweli siku nyingine mkitoka anakwambia "Don't forget your wallet honey 😄😄".... Ndalandefu anajua muda wote wallet inatema Tu, ya kwake haihusiki 😂😂
Huyo mwanaume inaonekana hata angekupeleka Hyatt regency na akakulipia kila kitu, bado ungemkatalia Strong and FearlessIt’s not what you think
Uyu alikua ananitaka tuingie kwenye relationship ila Bado nilikua sijamkubalia
Sasa ndo akaona Sijui akisema choose any place Sijui nini ndo mm ntalainika kumbe kaharibu mwanaume yule asiejiamini
Ukiwajulia hawa mbona utadumu nao...muda wowote unahakikisha wallet unayo ingawa unajua pasu kwa pasu ipo sometime unakaza ulipe mwenyewe usiojione MacSelemani 😂..."don't worry, it's ok baby" zitadondoka nyingi sanaNa wakati mwingine anakutoa yeye na analipa kila kitu. Na anakwambia kabisa kuwa leo huna hata haja ya kubeba wallet. Wako wawazi sana na hakuna surprises. Ukimkataza anakuona kama umemdharau labda kwa vile ni mwanamke...
Fact brooh..... Yaan mm nimesema Tena Men tuko very logic no matter how we are? Ila huyo Dem km ulivosema apo mtu haez toka om afu aje ale msosi wako..... Dem hata falsafa ya akili Hana njaa tupuMpaka mwanamume akwambie uchague sehemu anajimudu.
Wewe ulikuwa unachunguzwa ni aina gani ya demu
Kwa sababu mwisho wa siku bado alilipa hizo bills
First date imeonyesha wewe ni mwanamke wa aina gani.
Wenzenu wazoefu first date huwa wanakuwa humble sio kwenye nauli au mafuta ya gari ikiwa ana usafiri hadi anachoagiza sehemu wamekutana
ila kweliHajazingua hata kidogo..!Huyo ana experience na wanawake .Kuna mwanamke anaagiza chakula cha 15000/- halafu anadonoa kidogo anasema ameshiba chakula kinabaki chote.Kama ulikuwa umeagiza cha kwako itakuuma sana
Umesema vyemaFact brooh..... Yaan mm nimesema Tena Men tuko very logic no matter how we are? Ila huyo Dem km ulivosema apo mtu haez toka om afu aje ale msosi wako..... Dem hata falsafa ya akili Hana njaa tupu
Wewe unajuaMimi mtu akitaka kunitoa out huwa namwambia anipeleke popote tu ili nijionee yeye yupo level zipi au ananichukulia wa hadhi gani.