Siipendi hii tabia


Siijui pumzi yake alikua ananitongoza na sikumkubalia akadhani akifanya ivo ntakua interested
Na Ndio ni mm nilikuja na thread ya kumkataa mwanaume ambae simpendi. Ku choose wisely na kuwakataa wanaume wengine Ndio kupenda maisha ya juu
Lolzzz
 

Kabisa asee yani mpaka saiv bado hajielewi kuwa ulikuwa mtego na amenasa! Ila tunaweza mpa lawama bure mtoa mada kumbe ni kibinti kidogo ndo kinachipukia bado hajajua maisha ni nini
 
My point is Kwann mwanaume usiwa honest kuwa unaweZa kuafford places flani?
Na kama mwanaume unataka 50 -50 si useme sasa ili mjadiliane mjue how we move forward
Sasa kama umeshaona hayo madhaifu yake si ungemwambia abadilike au ungemvumilia? Ukimuacha huyo mwanaume ni faida kwake coz wewe sio wife material,huna uvumilivu,hata ungeishi na huyo mwanaume,siku ambayo itatokea matatizo ungemkimbia tu,huenda hata yeye amekuwekea huo kama mtego tu ili akupime uvumilivu wako.
 
Kwamba jamaa kajifanya ameshiba ila at the end kapiga chote hahah over budget inauma sana
 
umemaliza. Huyu mtoa mada ni kiti-moto mmoja, anaagiza vitu ambavyo angekuwa peke yake hawezi..Ana bahati kwanza baharia alitakiwa achimbe amwachie msala
 
bhas hapo unajiona umewin yan unajiona una akili sana unajua kuchagua!!!nimalizie tu kwa kusema wew ni zoba zoba zoba.

Wanawake wengine sijui inakuaje yan km jana nipo nyuma ya vibint viwil miaka yao ni km 22-24 kimoja kinamshaur mwenzake bwana ake akimtumia msg amwambie kuwa simu yake ni mbovu amnunulie akigoms bhas asipokee simu zake niliwaangalia ukiwaona sas km wanawake wa maan kumbe kichwani ni mavi matupu
 
Sema ukiwa na umri 20s unabidi kuishi MAISHA yenye maana na sio kutegemea offer za wanaume ili upate kitu, sometime waafrica mnakuwa kwa kurudi nyuma na sio kwenda mbele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…