Siipendi hii tabia

Na iwe tu biashara kuliko huu utapeli mnaowafanyia watoto wa watu in the name of true love
Wanaume ni matapeli sana,
Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha.


Eti wanapima uwife material kwenye hela na chakula,wakati huo huo wao siyo husband material....

Mwanaume kamili atampima tamaa mwanamke wake kwa kumpa pesa za kutosha azimanage.
 
Wanaume ni matapeli sana,
Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha.


Eti wanapima uwife material kwenye hela na chakula,wakati huo huo wao siyo husband material....

Mwanaume kamili atampima tamaa mwanamke wake kwa kumpa pesa za kutosha azimanage.
😂😂😂😂😂upewe hela ili ununue ambavyo hata hutumii ilimrad uspend tu
 

Yan umemsimanga jamaa vyote hivi na yeye ndie alielipa bili…kwanini na wewe usingepambana mwende pasu kwa pasu kwenye bili ?..
 
Najitegemea
Tatizo why ask me for a date and kujifanya you can afford everything wakati huwezi si bora uwe muwazi nikusaidie
Tatizo lenu huwa mnafanya kukomoa au mnaagiza menyu + vinywaji vya ndoto zenu.

Kuwa simple tu day one kisha baadae utamsoma vizuri na utafahamu maokoto yake....
 
Kwa iyo tabia ya kujitutumua huku huna kitu hapana hawezi kuwa mume wangu bora angekua mkweli ninge muona timamu
Ni wanaume wachache sana wenye guts za kusema ukweli.
Basi angekomaa na maji hadi mwisho. Hiyo ya kupiga msosi Hadi mwisho kazingua sana
 
Nitake radhi ww
Wazazi wangu wamenisomesha na alhamdulilqhi nimepata kazi na ninajitegemea
ngoja nimjibie jamaa sababu sio kuwa na kaz,unaeza ukawa na kaz na ukawa omba omba vile vile au malaya malaya...kifup labda kwa lugha nyepes mm niseme kuwa na akili alaf acha ubinafsi au uliona ukija jamii forum utaungwa mkono kwa huu upuuz

nyie ndio madem wa kula na kusepa sio kuekwa ndan ww ni tatizo labda uje ubadili hiyo tabia ya kitoto
 
Hali ngumu dadake
 
Nchi kama US ukitoka date na demu basi malipo ni 50-50 mademu wa kibongo akipata Boy friend ndio anaona kama amepata ajira!

Huyo Mwanaume ndio wa level yako,kama ukibahatika ukampata wa level ya juu kidogo basi na yeye atakutema.
Tukiwatolea mifano ya USA wanatujibu twende tukaoe huko
 
Ukiuandaa huo uzi ni Tag, hapa Leo huyo jamaa kazingua sana manake aliaminisha kuwa Kila kitu atasimamia
 
msosi tu unakutoa roho hivyo🤣🤣
 
Inaonekana ukitolewa out inakuwa makini kuangalia reaction ya mlipa bill wakati wa malipo
Kabisa...sio kwenye bill tu,hata kwenye maongezi....unaeza kuwa unaongea topic mwenzio kaboreka we unaongea tu,lazima uwe makini kujua hiki ninachozungumzia kina muimpress mwenzio?au ndio napuyanga?first date ni hatari😁😁😁
 
Dah!...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…