Siipendi hii tabia

Huu utamaduni mzuri sana. Huwezi kuchagua sehemu ambayo wewe mwenyewe huwezi ku afford
 
Wewe ni kupe mpumbavu sana, would you have taken yourself there on your bill? Videmu ushubwada ndio hua nawatakia kama nyie, too much poverty oriented ego
 
Labda alikuwa anakupima uwezo wako wa kufikiri juu ya kila anachokisema ila ukapelea🤔
Akaona acha akomboe chake mapema kabla hujamfanya millionea kutoka ubillionea🤔
Nawaza tu
 
Ubinadamu 👏🏼👏🏼👏🏼
 
nakuuliza tena...Chibonge wa migombani karibu na ziwa kuu hajambo?🤣🤣🤣🤣🤣
Achana na fiksi za Vijana, they were just guessing na kujaribu kupata undani wa Babu yao.

Ila nimekuwa mtu mwema kuliko wengi kule.

Hata hivyo, sio rahisi kujihusisha na mambo hayo katika Umri huu nilionao Mkuu
 
Ngoja kwanza.....twende taratibu.
Je, baada ya kumaliza msosi mwamba aliingia mfukoni kulipa au ndiyo alizunguka mnara ukalipa wewe?
 
Madem wengine km zombii.... Mim nlkuwa sna gari naish kwa kurekwesti bolt.... Niliwaambia skup Zaid ya 30k..... Huez sepaa ela yangu Bora ninywee Pombee iishee
Well, uko sawa lakini swala la lodge au hotel ni la mwanaume siyo akupangie mwanamke.

Ukipenda unaweza kwenda kuspend night hata five star hotel na kama bajeti hairuhusu lodge za sh 20,000/= zipo kibao tu nzuri, safi na full Ac.
 
Utazungusha Maneno tu lakini dunia ya sasa pesa ndio ina facilitate mapenzi, kubali au kataa.
 
Wangapi ambao wamewahi kufanya hivi kwako?
 
Achana na fiksi za Vijana, they were just guessing na kujaribu kupata undani wa Babu yao.

Ila nimekuwa mtu mwema kuliko wengi kule.

Hata hivyo, sio rahisi kujihusisha na mambo hayo katika Umri huu nilionao Mkuu
uzee wako kumbaf kabisa🤣🤣🤣
Nitakucheki mzee mwenzangu tuijenge dunia iliyobora🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…