Siipendi hii tabia

Miruzi tuuu... Mwanamke akinywa Dompo analegea sana.. ubaya awe fundi KIUNO... Yawe kristo Shikarabboshikaa..
 
Mimi huyu tulip tuliongea na akasema everything is on me. Na sio kwamba mm sikubeba hela nilikua nayo ya my budget na nyingine kwenye simu ila sio ya kumnunulia yeye
Its me me and me, acha uchoyo dada yangu 😀 😀 😀. Ukisikia mwanamke anaficha burungutu la fedha huku mumewe anaumbuka au kuumia ndio huku. Anyways kila mtu kamjua mwenzake hivyo the date was fruitful ila change mindset yako, life is not black and white, watu budget umeipanga ila kuna mtoto wa mama mdogo anahitaji kusoma na unamsomesha just like that. Mkiambiwa acheni uchoyo mnaziba masikio.
 
Nimesoma kisha nikacheka,Any way.Huyo ndo saizi na type yako.Wewe hufai watu ambao unatamani uwe nao.Yaani hao ambao wanakuambia chagua unapotaka na unachotaka hawawezi kuwa na mtu kama wewe.So next time tafuta watu wa class yako,uende nao sehemu ya class yako na uagize vitu vya class yako.Si unataka kwenda class ya juu ilhali bado hujamalizana na watu wa class yako.


  1. Katika Mahusiano au dating kuna wanawake wa makundi tano:
    1. Kundi la kwanza ni wale ambao ukitaka kuwapeleka date unawaomba tu muda tena wa jioni kisha unachukua usafiri unawafuata,una reserve sehemu husika in advance na unahakikisha wanapata the best service kwani lengo lako ni kuhakikisha unawapa memorable experience na unaanza uhusiano in high tone.Hawa kwanza ni wanawawke ambao huwa wana PESA zao,kazi zao,Maisha yao,elimu yao,uzoefu wa mahusiano,utulivu wa kihisia,heshima,nidhamu,warembo wasafi,wastaarabu na ambao wanweza kuongeza value kwenye maisha ya mwanaume na kwenye mahusiano.
    2. Kundi la pili ni wale ambao ukitaka kuwapeleka out Unawaalika lakini huwatumii nauli unawapa to location lakini vitu vingine vyote wanakuwa kama hawa hapo juu.
    3. Kundi la tatu ni la wale ambao unawatumia nauli na kuwapa location kila kitu unafanya nusu y vitu hapo juu mkimalizana ndo imetoka hiyo
    4. Kundi la nne ni la wale ambao unawatumia nauli au uber au boda boda kisha wanakuja na rafiki zao au hata wakija peke yao wanaagiza vitu vya ajabu mbavyo hata hawajawahi tumia hawa nao ni kama namba tatu tu hapo juu
    5. Kundi la tano ambalo naona ndio linakufaa ni wale ambao location inatakiwa iwe na lodge,Mualikaji awe na zana,Na anapkuja anakuja na njaa na ukushamalizana naye humtafuti tena mpaka siku ukiwa na upwiri na hasa kama ulielewa shoo na alionesha adabu kama alionesha ushamba kama wa kwako unaendela tu na mwingine kwenye mstari
 
Kama hii ndo sababu, basi, itoshe kusema kwamba wanawake mlio wengi mnapoteza wanaume bora kwa vitu vidogo.

Kama hukumuelewa kwa hili, basi hutamuelewa kwa mengine. Bora umemuacha mwamba aende.

Mnataka mtu akope na a'fake uhalisia wake ili kukuhadaa halafu mwisho unakuja kusema wanaume wote ni mbwa.
 
Gotte invite you for a proper Dutch Date..... like how we always say We going Dutch babe.
"Two Tabs, One Connection: The Dutch Date Magic!"

But Hey Mama, give him a break kidogo! Hakujua urefu wa Maji but next time he'll do better or .... just text him and ask him for a quick 3 Million atakuacha! Never Block or delete number just play a nigger so as u can go back anytime kupeleka shida zako.

Act like a lady , think like a man! wanaume hatuachi Makoloni tunaweka kando incase.🙄🙄🙄

#Ushauri&FalsafazaKipuuzi
 
Tumia akili kidogo tu, mwanaume aliye tayari kujirisk wewe ufurahi ndio mwanaume sasa. Endelea kuhangaika, utakipata unachokitafuta.
 
Acha kudanga, hiyo ilikuwa interview na umepata zero. Wanaume endeleeni kchunguza haya makurumbembe kabla ya kuingia kwenye mahusiano.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…