Mwenyewe nimechagua upande wa Kumtumikia Kristo kama ulivyo wewe.Grahams unajua ni jina la mtumishi mkubwa Us.
Nawe watumikie warembo wetu mkuu tena kwa mahaba mazito.
Soma tena post uliyo ni quote kuna kipengele niliongezea
We ungekua mkweli si ungekua unakula kwenu, kwanini kila ukiambiwa uagize chakula unaagiza we huna aibu kiumbe gani ambae hujawahi kushiba?
Unajidanganya sana, hakuna wife material, ni kudra za Mungu tu.Huyu binti ametegwa ili kuweza kujua kama ni Wife-material ama laa.
Kwa hilo alilolifanya, amekuwa disqualified
Ni sahihi Mkuu, lakini kadri mnavyofahamiana inakupa fursa ya kujifunza na pia kuweza kujua namna ya kuweza kuishi naye.Unajidanganya sana, hakuna wife material, ni kudra za Mungu tu.
Mwanamke akiamuwa kukuigizia anaweza kukuigizia hata miaka kabla haja kuonesha her true colors.
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Kwa hiyo mkuu uko mbali na UTI?Mwenyewe nimechagua upande wa Kumtumikia Kristo kama ulivyo wewe.
Kwa Umri huu wa Uzee unachagua upande sahihi, nami nimefanya hivyo.
Maandiko yanasema Ukizaliwa na Kristo, unakuwa Kiumbe kipya, tazama ya kale yanakuwa mapya......
Kuna matukio unajaribu kuyaandika ili watu wajifunze. Angalia namna Mtume Paulo alivyoifanya kazi hii ili wengi wajifunze kupitia yeye.
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.Mwenyewe nimechagua upande wa Kumtumikia Kristo kama ulivyo wewe.
Kwa Umri huu wa Uzee unachagua upande sahihi, nami nimefanya hivyo.
Maandiko yanasema Ukizaliwa na Kristo, unakuwa Kiumbe kipya, tazama ya kale yanakuwa mapya......
Kuna matukio unajaribu kuyaandika ili watu wajifunze. Angalia namna Mtume Paulo alivyoifanya kazi hii ili wengi wajifunze kupitia yeye.
Hamna ambacho sjapitia nakumbk ilkuwa corner bar sinza nakapata danga anatka ety fifty k, apo bdo chumba na anatak yeye achague chumba kizur nkamwambia em ntolee ujinga alizua taharukii ata skuwaza akatulia mwenyw.....Mpk majini ushatoka nayo unayajua
"Lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana".Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
Yoshua 24:15
Kabisa Mkuu, maana kwa Umri huu ni kucheza na Wajukuu tu 🤗Kwa hiyo mkuu uko mbali na UTI?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eeh ndo mimi, yani we unaonekana una asili ya uchoyo uchoyo, mtu kanunua msosi yeye bado akila unalalamika, kama rahisi nunua kwa hela yakoMbona umepanick dearAu ndo ww umekuja uku
Hivi huwa wanawachukulia vipi au huwa mnavimba sana mpo BOT?Hamna ambacho sjapitia nakumbk ilkuwa corner bar sinza nakapata danga anatka ety fifty k, apo bdo chumba na anatak yeye achague chumba kizur nkamwambia em ntolee ujinga alizua taharukii ata skuwaza akatulia mwenyw.....
Study conducted in USA mwaka nimesahu ilionyesha kuwa wanawake asilimia kubwa hupenda kwenda kwenye date ili kupata free food ambayo yeye mwenyewe hawezi kuafford.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Nitumie namba yako pm nikupoze machunguYani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Umeamua kurudisha mpira kwa kipa mkuu? Mimi bado kidogo🤣🤣Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
Yoshua 24:15
Huioni ?
sawa....mbona unalilia pesa ya mwanaumeNitake radhi ww
Wazazi wangu wamenisomesha na alhamdulilqhi nimepata kazi na ninajitegemea