Siipendi CHADEMA


Mkuu, naona we ni kama mimi tu kwamba wote hatuipendi chadema
 
Bora mipasho mkuu kuliko matusi na wazinzi wa kupora wake za watu hii dhambi hamtaikimbia mkuu.


Mkuu unamanisha uzinzi wa wake za watu igunga, hawezi acha sasa ameongeza na kale kadada ketu ka mbeya

Yeye anasema kakuku ka kyenyeji.
 
Mleta uzi ni mnafiki alichokiandika ni madongo kwa chama tawala.


Mkuu Mingoi, unafiki wangu unatoka wapi tena wakati nmeweka wazi kwamba siipendi chadema na sababu nimezitoa?
 
Kweli mkuu Chadema imejenga shule, barabara, zahanati hata vyuo. Hata sisi tumepata elimu kwa juhudi za cdm. CDM oyeeeeeee
 
Ni kweli mkuu na sijui kama anaendelea na dawa alizoambiwa na kigwangala.

Namchukia Lisu maana kichaa chake sio kama cha wengine....Cha kwake kinawapeleka puta watu wengi, akipewa mic hata mwenye kigoda anapata hofu....Kichaa chake kilimtia hofu mkuu wa kaya na kusema ni bora Slaa mara..... kuliko Lisu kutinga bungeni.........
 
Yameanza mabomu tena?.........

Mabomu ya kukuzuia kufika kwa Dr.kwa sababu Jose na Kamili..oni wamejifunga nayo kila kona acha kabisa usiwasogelee mdogo wangu watakufutilia mbali wakali hao kwa sasa?! watafute wengine kama wakina Baba V.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…