Siipendi CHADEMA

CHADEMA haifai, imewafukuza uanachama watu muhimu MTEla na Juliana ambao kwenye chama chetu ndo wamekuwa tegemeo kuliko waliokuwepo ndani ya chama kabla...

Umepigilia msumari wa moto kabisa......
 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi ukifika mzee atapora mwanamke gani sijui naona mshumbusi anatemwa.
 

"Hatanmjinga, manomu, endelefu..." Is this mulugo's product or...
 


Mkuu
Hili bandiko lako nimetoka kapa kama vile msumemo mbele unakata nyuma unakata. tena nashindwa kujuwa kama

kati ya kuku, yai na kifaranga nani alitangulia? au inawezekanaje mtoto akapata heshima zote kutoka kwa mama

na sio baba?
hapa CCM inanichanganya zaidi
 
Kazi zenu mlizonazo chadema zinatosha ni mandamani,vurugu,tindikali nk mkiongeza zingine mnajiumiza wenyewe.

CHADEMA wamesababisha uandike "mandamani"... ni neno jipya hili!?
 
Mkuu bado itakuchanganya sana mpaka umwache uliyenaye.
 
Mimi naipenda Chadema lakini siwapendi vijana wa Bavicha kwa kunywa viroba.
 
Sio akili kubwa kwasababu kwa hali tuliyofikia mpaka hzo phd zinahujumiwa.....!
Mr dhaifu nae anaitwa Dr Jah

ukiunganisa shahada za kanisani alizopata SLAA haziwezi kufikia hata moja ya JK. Ukumnuke hata mapadre wengine wakitaka elimu zao walizopata makanisani zitambulike huwa wanajitahidi kusoma vyuo vya elimu vinavyotambulika , tuambie SLAA kasoma chuo gani kinachotambulika.
 
Kusha kucha na makucha yake. Chizi mmoja anaokota lundo lake la matakataka huko atokako kisha alileta kwenye kadamnasi ya watu, ghafra wanatokea wendawazimu wenzake nakuanza kuya gombea yale matakataka hali inayo pelekea harufu mbaya pale kwenye ile kadamnasi nawatu wenye akili kuanza kubana pua zao kukwepa harufu ile, hali inazidi kua mbaya mwisho wenye akili wanalazimika kutawa nyika nakuwaacha vichaa watupu wakiendelea kutawanya zile takataka zao. (chukua hatua)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…