Siipendi CHADEMA

Teh teh teh teh.....usinichafulie mkuu wa chuo changu bhana.
Posta ndo kuna vyuo hivyo?umekaririshwa.....shauri yako.

Basi nakusubiri Magomeni au na penyewe nimekaririshwa, teh teh teh.
 
Naichukia CHADEMA, tumewaomba viongozi wao watusaidie ushahidi wa aliyerusha bomu wamekataa kabisa kutusaidia sisi wapenzi wa wananchi jeshi lenu la polisi.
 

Wewe una chembe za fasihi na Falsafa kichwani kwako. Hongera!! Nimependa bandiko lako maana Linavuta hisia na Kwa kiasi fulani umetumia muda kufikiri na kupangilia maandishi yako!!Mwenye Jicho la tatu ataelewa ila mwenye yale mawili holah!! Laiti hii ingekuwa 'front page' ya kwenye gazeti nadhani siku hiyo wale wapinzani wa chama husika wangenunua 'copies' zote za nakala na gazeti lingepata faida.
 
Umezoea kushikwa sana nini? Au kundi moja na MWENYEKITI WENU?
Hongera mkuu fish sasa ni Jicho-la3,la kwanza ngumu kumeza,la pili mayai sana,sasa la3 hadi mfugo unaishi,kweli evolution ime-take place,pole sana sasa hivi wanaona mbali hadi mihogo pale inapohifadhiwa...Jichola3
 
Nadhani kwa 'post' yako kama kuna 'opposer' wa hicho yumo humu ndani kasoma tu 'heading' inawezekana akawa amepoteza vocha zake kuwatafuta wenzake sisiemu ili waingie Jf kusoma hiyo post lakini baada ya hapo bilashaka watakuwa wametoka na majonzi na sipati picha simu zao na Laptop zao zipo ktk hali gani!!
 
Kama ndio hivi hawa CHADEMA noumaaa!! Yaani mpaka Kinana wamempandikiza wao? Intelijensia yao basi ni KALI!!
 
Ahsante kwa kutumia sanaa kuipromote CDM
 
Kwa research ya haraka haraka, thread zinazohusu siasa za kuichafua CDM zinapata wachangiaji wengi kuliko thread za maendeleo!!!!!. Tafakuri!
 
Yani wewe huna akili kabisa unachojaribu kutuambia ni kuwa chadema imekosea kuwaelimisha watanzania wengi ambao haki,rasilimali zao zimekuwa zikiporwa pamoja na elimu ya uraia ambayo wamekuwa wakiipata kupitia chadema na hayo yote unayoyasema ikiwa unamini hivyo basi amini kuwa serikali ya ccm ni dhaifu katika kuongoza na ndio sababu ya chadema ndio yanayong'ara .Mwisho jaribu kuelewa nini maana ya chama kikuu cha upinzani na wajibu wake. CDM UTAIPENDA.
 
Hoja hapa Siipendi Chadema, akili ndogo inaongoza Akili kubwa, Mbowe darasa la saba, Lema darasa la saba wanawaongoza akili kubwa Prof. Baregu, Prof. Safari.

sijui ata ulifanikiwaje kupata shahada ya sheria wewe kihiyo?
 

anachojaribu kufananisha huyu mkuu ni kifo na usingizi,katu haviwezi kufanana.
 
Mkuu chama, kuna cha kienyeji huku kinaitaji kupozwa.

Mkuu Ritz
Jamaa humuoni alivyokomaa uso kwa sababu ya njaa? Haya mapimbi ya Togo yapo kama misekure tu hayana mbele wala nyuma yapoyapo kihasarahasara!
 
Last edited by a moderator:
huko huwezi kumkosa mkuu majebere zomba Ritz chama HAMY-D njiwa na wengine wengi.

Visebengo hamkosi cha kusema; nyie maendeleo gani mnayoyachangia zaidi ya kuipaka matope serikali? Nipe mfano wa thread moja ya maendeleo mliyoileta nyie wanachadema? Haaaaa sikuangalia aliyesema upuuzi huu kumbe ni wewe kibol? Mnafiki mkubwa wewe si ndiye kinara wa kuitukana serikali? Hivi unaugua kisonono cha ubongo? Hujitambui hujijui upo kama zezeta!
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Wacha uvivu wa kusoma wewe Au nyie Ndio wale wahitimu wa lowasa sec school? Anza yoga kusoma utaelewa



 
anachojaribu kufananisha huyu mkuu ni kifo na usingizi,katu haviwezi kufanana.

kweli
Mizigo mko wengi Hata kusoma hamjui?


Yani wewe huna akili kabisa unachojaribu kutuambia ni kuwa chadema imekosea kuwaelimisha watanzania wengi ambao haki,rasilimali zao zimekuwa zikiporwa pamoja na elimu ya uraia ambayo wamekuwa wakiipata kupitia chadema na hayo yote unayoyasema ikiwa unamini hivyo basi amini kuwa serikali ya ccm ni dhaifu katika kuongoza na ndio sababu ya chadema ndio yanayong'ara .Mwisho jaribu kuelewa nini maana ya chama kikuu cha upinzani na wajibu wake. CDM UTAIPENDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…