Siipendi CHADEMA

Umesomeka Mpigilie. Nasikia eti hawa hawa CHADEMA wameamua kuchuja watu/MAWAZIRI watakaonana na Obama kwa kushirikiana na FBI.
 
Kwaiyo maovu ya serikali yasifichuliwe??

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwaiyo maovu ya serikali yasifichuliwe??

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

hakuna serikali duniani ambayo ni safi 100%, mleta mada anataka kuja na fumbo kwamba CDM inasingiziwa kuleta machafuko nchi wakati huo ndiyo ukweli na wanafikiri kufanya hivyo na kuipaka matope serikali wakakubalika. Watanzania siyo wa hivyo.
 
Umesomeka Mpigilie. Nasikia eti hawa hawa CHADEMA wameamua kuchuja watu/MAWAZIRI watakaonana na Obama kwa kushirikiana na FBI.

Nasikia wameandaa vijana kuzomea msafara wa obama, watachukuliwa mzega mzega kwenda GWANTANAMO wanafikiri ni wanavyowachezea POLISI wetu.
 
Kujichotea mil 140 ruzuku ya chama na kwenda kutumbua na mchumba israeli

Huwezi kupenda chadema wakati inaua watu kwa mabomu.
Finally nimejua ni kiasi gani vijana wa Lumumba wana uwezo mdogo wa kuchambua na kuchuja hoja. Kwahiyo ninyi kwa akili yenu mmeona mleta hoja anawasifia?? hahah, kweli CCM inawatuma mamburula kutetea chama.
Naona mleta hoja kawapiga chenga kali sana vijana wa Lumumba!
 
Nzi -------- huzikwa pamoja na maiti
 
Nasikia wameandaa vijana kuzomea msafara wa obama, watachukuliwa mzega mzega kwenda GWANTANAMO wanafikiri ni wanavyowachezea POLISI wetu.
Kaandikishe jina kati ya watu watakaomshika obama mkono..
 
Mtajibeba mwaka huu poleni sana chadema na mda bado upo mtapata shida sana mwaka huu.

walianza na peopleeeeez power ya kurusha mabomu, wakaja na hakuna kulala mpaka kileleweke kwa kupanga mikakati ya kuwadhuru akina ULI, KIBANDA na MSACKY na nasikia wana nyingine inasema muziki wa CHADEMA tutaona 2015 , sijui baada ya kubwagwa mwaka 2015 watakuja na lipi tena.
 
1. Nyumba ndogo
2. Ndoa ya mkeka
3. 2015
 
Hivi wanachadema huyo ndiye munamwamini kwa propaganda? Tehe teh teh teh. Alivyojikanyaga hapo mara ajikune , mara awashwe sasa nani ambaye hajui kuwa alikuwa anatetea vijisengi vya mtaa wa ufipa?
 
Chadema wana wafuasi wengi, wewe mtu mmoja usipo ipenda au kuiunga mkono chadema haita yumba kamwe, kwanza hata chama unacho kipenda hukisaidii kwa lolote ilikiwepo porojo ndio nyiiingi,

Hebu rudia kusoma kwa umakini jamaa alichoandika alafu linganisha na ulivyojibu. Jifunze kuconnect dots mkuu.
 
Hivi wanachadema huyo ndiye munamwamini kwa propaganda? Tehe teh teh teh. Alivyojikanyaga hapo mara ajikune , mara awashwe sasa nani ambaye hajui kuwa alikuwa anatetea vijisengi vya mtaa wa ufipa?
Sasa mbona mmeingia chaka?
 
Hebu rudia kusoma kwa umakini jamaa alichoandika alafu linganisha na ulivyojibu. Jifunze kuconnect dots mkuu.
Kuna watu humu wanasoma headline tu na kuweka comments. Mleta maada yupo wazi kabisa katika hoja zake. Lakini sishangai, maana hata vijana wa Lumumba wameingia chaka ile mbaya.
 
sasa wewe utaipenda chadema wakati umepitia umoja wa vijana....we sio bure lazima umelogwa
 
huipendi chadema kama mwigulu, we si wa kwanza lakini ccm kwisha elekea Qibra
 
Duuuuu! Aisee falsafa uliyoitumia hapa imenifurahisha sana maana umeandika kinyume nyume! Big up mkuu waelewa tumekuelewa.

Magamba itakuwa walipoiona hii thread wameikimbilia kuisoma wakakutana na ngumi za macho.

Hapa lazima warudie kusoma mara mbili mbili na macho yatakuwa yamewatoka balaa. Hahahahaa!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…