Siipendi CHADEMA

Mkurugenzi wa sumu na mabomu wilfred lwakatare
Usimsahau na yule anayotembea nayo mfukoni usiku na mchana akimuwinda Zitto sio ndio mkuu wa ugavi au maabara ya sumu.
 
Na hakuna akili timamu inayoweza kuandika upum.bavu kama ulioandika wewe Jicho

Dogo Miss ameshafika pale nanihiii mlipokubaliana,lakini kuwa makini kwa sababu nasikia Dk.naye yuko njiani kwenye list ya leo.lakini inabidi ubebe sumu nyingi mifukoni mwako kwa ajili ya kujilinda.
 
yote uliyoandika ni uongo,si kweli na umetumwa kukidhalilisha chama tawala,mmedanganywa na wanasiasa uchwara wasiojua historia ya taifa hili kwamba kukidhalilisha chama tawala kwa wananchi kunatosha kuwafanya wananchi wawaone kama mbadala wa CCM jambo ambalo si kweli
1.haiwezekani usalama wa taifa ukaripoti CDM,ungekuwa mchina au mrusi ungeambiwa una classified information na wangeku prosecute haraka sana
2..CDM haina sera makini inayoweza kutumiwa kuongoza nchi,na kamwe chama tawala hakiwezi kuacha sera zake zilizofanya wananchi wakipigie kura ili kutekeleza sera za chadema,serikali iliyopo madarakani ni ya CCM na inatekeleza sera za CCM
3.Wananchi hawakuipa CCM KULA,walikipigia kura za kutosha ili kifanye maamuzi kwa manufaa yao
4.kaka ebu acha kuwadhalilisha watanzania,maneno yanaumba...mwana falsafa mmoja wa kigiriki aliyeishi duniani kabla ya kristo saliwahi kusema*you are what you think
 
Wale askari waliomshambulia Mwangosi kama mpira wa kona ni Chadema!
Na lile bomu mliomfua nalo ni chadema....!
Kile kigofu cha polisi kilichokuwa kinawafuatilia Kibanda na mwenzie mpaka maeneo ya Sinza wik chache mpaka kutobolewa jicho ni chadema.....!
 
Una bomu hapo??

Nadhani mwigulu atakuwa amebakisha machache alopewa china, mwone tu na kisha pitia kwa chagonja akufaham asije

akasema wewe ni cdm wakati ni mtumwa wa mwigulu na ccm.
 
Kibanda hakuhama freemedia kwa amani...chadamu mnakodi askari wakauwe watu kwny mikutano yenu ili mpate huruma ya umma
 
Dogo Miss ameshafika pale nanihiii mlipokubaliana,lakini kuwa makini kwa sababu nasikia Dk.naye yuko njiani kwenye list ya leo.lakini inabidi ubebe sumu nyingi mifukoni mwako kwa ajili ya kujilinda.

Sumu zenu balaa.....maana kama Kyembe ilimbabua kwel kweli.Hivi mnatoaga wapi?!!!
 
Nadhani mwigulu atakuwa amebakisha machache alopewa china, mwone tu na kisha pitia kwa chagonja akufaham asije

akasema wewe ni cdm wakati ni mtumwa wa mwigulu na ccm.
Hebu chek na kilewo au lwakatare kwanza
 
aiseeeee babayangu nynyi endeleeni kubishana chadema mimi ngoja NIKATOWE MAONI YA KATIBA MPYA KUHUSU KUMPUNGUZIA MADARAKA RAIS
 
Mkuu, hao wanatembea na sumu hadi bar, wanatishia vikongwe kwa bastola, wanamwagia watu tindikali..kilichobaki ni kutukamata wazima wazima na kula nyama ya watu live pale kinondoni mtaa wa ufipa
 
Kibanda hakuhama freemedia kwa amani...chadamu mnakodi askari wakauwe watu kwny mikutano yenu ili mpate huruma ya umma

Huruma Arusha tena kwa chadema.......muulize Batilda Buriani anaijua shughuli yake.
 
aiseeeee babayangu nynyi endeleeni kubishana chadema mimi ngoja NIKATOWE MAONI YA KATIBA MPYA KUHUSU KUMPUNGUZIA MADARAKA RAIS
Wewe ndo utapunguza madaraka ya rais au tanzania unadhani ni chadema watu wako na busara zao,wako imara wanajenga taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…