Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

ACT ndio chama kinachopendwa... chadema watanzania wanaichukia sana
 
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.

Wewe elimu yako ni kiasi gani eti? Na hivi wewe ndiye Mwenyekiti wa Taifa CCM eti?

Namna tu ulivyojaribu kujenga hii hoja umeji-expose na kuonekana hadi ndani ya Bongo lako jinsi ulivyo mtupu!!. Na kwa urahisi kabisa mtu anaweza kuku-define wewe ni mtu wa namna gani hata bila kuonekana sura na umbo lako,kwamba wewe ni;
  • Mmbea na mnafika wa kutupwa!
  • Mwongo wa kutupwa!
  • Hauko well informed juu ya jambo lolote unaloweza kulitoa mbele ya wenzako,na ushahidi ni haya uliyaandika hapa, na kama unabisha thibitisha hayo!...Mfano unajua maana ya neno "tukana" kweli wewe?... Wapi na lini viongozi wa chama hikia waliitukana serikali na ni matusi gani eti? Maana inawezekana kwenu ninyi CCM kuambiwa kuwa KIKWETE na SERIKALI nzima ya CCM ni mafisadi kwenu ninyi ni Kutukana....ni Tusi!!
  • Huaminiki na mtu asiyeaminika maana yake ni kwamba,ni mwongo na kwa uongo wake hakuna mtu wa kumwamini!!
  • Una kila aina ya tabia mbaya zisizotakiwa katika jamii yoyote ya watu waliostaarabika!!

Na kama katika CCM kuna watu wa kukisemea na kukitetea chama wa dizaini yako,basi jibu la kwa nini chama hiki kinanuka mithili ya kinyesi cha binadamu litakuwa ni kwa sababu ya watu wa dizaini yako mliojazana huko kuvizia vya wizi!!
 
Mimi naipenda sana CCM kwa kuwaua Raia akiwemo Daud Mwangosi, Naipenda CCM kwa kuuza dhahabu zetu kwa bei chee, Naipenda CCM kwa kuwafukuza wananchi kwenye maeneo yenye madini, Naipenda CCM kwa kupiga deal ya kuidhoofisha TANESCO, Naipenda CCM kwa kupandisha bei ya umeme, Naipenda CCM kwa kupandisha gharama za maisha, Naipenda CCM kwa kuwafaulisha wanafunzi 5000 wasiojua kusoma wala kuandika, Naipenda sana CCM kwa kuwasamehe wezi wa EPA na kuwafunga wezi wa kuku maisha, Naipenda sana CCM kwa kuuza vitalu vya gesi na kuweka fedha uswis, Naipenda CCM kwa kuwashughulika madaktari wanaodai huduma za afya ziboreshwe, Naipenda CCM kwa kuwarithisha vijana wao majimbo, Nawapenda CCM kwa kusafirisha wanyama hai, Nawapenda CCM kwa kuua Tembo wanaoharibu mazingira! Nawapenda sana CCM kwa kutowajali walimu kwa unoko wao! Nawapenda sana CCM kwa kuchangisha mbio za mwenge, Nawapenda sana CCM kwa kuendelea kung'ang'ania jumuiya ya Africa mashariki japo hatufaidiki kwa lolote, nawapenda sana CCM kwa kuhakikisha PK na M7 hawanufaiki na rasilimali za Congo bali wazungu tu, Nawapenda sana CCM kwa kujadiliana na Dada Joyce namna bora ya kumuachia ziwa nyasa... I LOVE CCM with all my Heart n Soul kwa kunawirisha UJINGA, MARADHI na UMASIKINI kwa jamii ya Kitanzania...RIP JKN...

Pole ndugu yangu, inaelekea ulikuwa na UCHUNGU sana na maliasili za TAIFA.
 
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.
Nimekutukana kimya kimya
 
Chama cha kidini na ukabila cdm

Hakuna SUMU mbaya kama kuwakaririsha watu wabaguane kwa sababu ya dini zao.Nikiwa mchagga na Mkristu nikawa mwanachama wa CCM sina tatizo ila nikiwaupinzani basi ni shida maana majina yote mabaya nitapewa.Hebu acheni hayo,waacheni watanzania waamue kwa ridhaa yao kula nyama,maharage au samaki.

Msitubague kwa misingi ya dini wala itikadi za siasa sote tunahaki ya kuishi Tanzania na KATIBA yetu ya nchi haibagui watu kulingana na imani yao ya dini,vyama vya siasa au kabila.Hakuna mahali panapeleza kwamba ukiwa MTANZANIA basi lazima uwe CCM hata enzi za Nyerere hakuna mtu aliyelazimishwa kupenda CCM bali mahitaji ya kibinadamu ndiyo yoliyotufanya tuwe wanachama wa CCM ,mahitaji kama vile kuajiriwa,kwenda vyuoni nk.Tusirudi huko jamani kumepitwa na wakati.
 
tunapoelekea kuna watu watajeuza jukwaa la jf kuwa la mipasho,umbea,kuchambana,na kuondoa ile dhana kuitwa great thinker.makusudically huna tofauti na wanawake wa saloon
 
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.

Kuwa mwanachama lazma uwe na akili timamu kwelikweli na watu wakujue Kuwa unaakili timamu,kwahyo kulingana na akili yako huna sifa ya kuwa mwanachadema.
 
Mkuu PetroE.Mselewa, nini maoni yako juu ya majibu ya mkereketwa mwenzio wa chadema hapo juu.
Kwanini msiwafundishe vijana kama huyo kutoa majibu ya kiungwana kama yako?

dawa ya moto ni moto .
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia mke wako anamsema mwanaume yeyote kuwa hampendi,hapo jua kwamba mkeo anampenda huyo jamaa kupita kiasi ila anasema hivyo ili kukutoa kwenye wazo la kumstukia.Hata wewe mleta maada inaonekana huipendi chadema mchana lakini usiku huwa una mahaba ya dhati kwa cdm.Wewe ni miongoni mwa watu wanaoipenda chadema kupita kiasi.

UNA AKILI sana !
 
Hakuna SUMU mbaya kama kuwakaririsha watu wabaguane kwa sababu ya dini zao.Nikiwa mchagga na Mkristu nikawa mwanachama wa CCM sina tatizo ila nikiwaupinzani basi ni shida maana majina yote mabaya nitapewa.Hebu acheni hayo,waacheni watanzania waamue kwa ridhaa yao kula nyama,maharage au samaki.

Msitubague kwa misingi ya dini wala itikadi za siasa sote tunahaki ya kuishi Tanzania na KATIBA yetu ya nchi haibagui watu kulingana na imani yao ya dini,vyama vya siasa au kabila.Hakuna mahali panapeleza kwamba ukiwa MTANZANIA basi lazima uwe CCM hata enzi za Nyerere hakuna mtu aliyelazimishwa kupenda CCM bali mahitaji ya kibinadamu ndiyo yoliyotufanya tuwe wanachama wa CCM ,mahitaji kama vile kuajiriwa,kwenda vyuoni nk.Tusirudi huko jamani kumepitwa na wakati.
well said mkuu...
 
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.

hata chadema hatuwezi kuwa na mtu mjinga na mwehu kama wewe huna hoja hata kuandika hujui,shule yenyewe tatizo,hakika unastahili kuwa mwana ccm.
 
Wanachoniudhi ni kutukana watawala na kutunga uongo hakika CHADEMA kweli mka cancer ya koo ambayo mwishowe ni kifo
 
Then unapaswa kuchukia viongozi na si chama...

Kwa upande wangu sichukii chama kwani ukiangalia kwa undani kina sera nzuri sana,ndiyo maana baadhi ya watanzania wanachukia viongozi wa chama na wa serikali na baada ya kuona hakuna mbadala ndiyo sababu wanaopt kwenye chama kingine,vinginevyo hakuna sababu ya kuchukia chama kama chama,bali wabaya ni wale watekelezaji wa sera ambao hawatekelezi sera zao.
 
Back
Top Bottom