Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Wewe mwehu kabisa kwani usipoipenda unaipunguzia nini wewe kilaza baki na chama chako cha MAJAMBAZI,kinacho minya uhuru wa mawazo na kung'ang'ania madaraka,kwanza wananchi wameshawajua vyakutosha jinsi mnavyowafanya kuwa wajinga,viongozi wenu kama wanatupeleka kusiko lazima tuwaseme hata kwakuwatukana hata wewe ------ tu na kubwa jinga na wewe inaonesha upeo wako mdogo kama maviongozi yako na ndo maana unapost ujinga wako shenzi mkuma wewe.ikome chadema ni chama cha ukombozi.
Chama cha kidini na ukabila cdm
chama cha kidini na ukabila cdm
wewe kilaza wa CCM,viongozi wenu wanao waongoza hawana lolote kielimu i.e lukuma,wasira na wazi wa matusi na kukwapuji wa pesa za watanzania nchemba,lusinde mbunge wa mtera,makaroti,ndugai,makinda hata wale wanajiita maprofesa hawana lolote.kuwa profesa then uko ccm ni sawa na mtu mwenye elimu ya drs la saba,maana kule huwa akili yote inahama.
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.
Huyu anatuwakilisha mamilioni ya watanzania.Wewe mwehu kabisa kwani usipoipenda unaipunguzia nini wewe kilaza baki na chama chako cha MAJAMBAZI,kinacho minya uhuru wa mawazo na kung'ang'ania madaraka,kwanza wananchi wameshawajua vyakutosha jinsi mnavyowafanya kuwa wajinga,viongozi wenu kama wanatupeleka kusiko lazima tuwaseme hata kwakuwatukana hata wewe ------ tu na kubwa jinga na wewe inaonesha upeo wako mdogo kama maviongozi yako na ndo maana unapost ujinga wako shenzi mkuma wewe.ikome chadema ni chama cha ukombozi.