Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Wewe umecheza na umepigwa pole saaanaHakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kusubiri anguko la fulani ambaye hana impact yoyote ile kwenye maisha yako. Sio dalili nzuri kabisa.