Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,937
- 3,202
Nataka kuongeza mke lolTaarifa ipi mkuu..
Nataka kuongeza mke lolTaarifa ipi mkuu..
Mkuu haijafunguka tu?Loading....
Wataka kuongeza mke mwenzio umfanye nini?Nataka kuongeza mke lol
We utakua mkristo, muislam hawezi kusema hivi.Kama mkeo hajakukosea chochote na anakuhudumia bila shida kuna haja gani ya kuongeza mke.
Mi nilidhani anatabia ya kukunyima kwa makusudi haki yako ya tendo la ndoa.
hujajua usemacho bado mkuu.Kama mkeo hajakukosea chochote na anakuhudumia bila shida kuna haja gani ya kuongeza mke.
Mi nilidhani anatabia ya kukunyima kwa makusudi haki yako ya tendo la ndoa.
Hata ukioa watatu utataka na wanne na watano na bado na michepuko yake nje.. Asiyeridhika kwa kidgo hata kikubwa hatawezaUkitamani kuowa mke wa tatu kwa sisi waislam sio mbaya imehalalishwa.
maneno ya waswahili tu..Hata ukioa watatu utataka na wanne na watano na bado na michepuko yake nje.. Asiyeridhika kwa kidgo hata kikubwa hataweza