Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,374
Niliposikia hii habari nilijiuliza maswali mengi, au tunaweza kupata mfano wa nchi gani duniani walipata ''msaada'' kama huu kabla yetu??
Najua mnamuonea wivu profesa anavyopendwa na mataifa ya nje. Mbona safar zake hazijaisha bado, mnalalamika umeme wa kuchajia hakuna kwani ameshamaliza ziara zake? Je ikitokea akapata msaada mwingine wakuletewa power bank zinazokaa miezi miwili na charge? Ama kwahakika hâta wa kijijini anaweza kutuma ka'power bank kake mjini kwenye umeme kakachajiwe . sioni kosa la profesa acheni wivu wa kike, ccm inatufanyia makubwa tuwe na shukrani.
Hapana Mpwa hatuhitaji kufika huko. Sometimes Waandishi wetu wanaweka chumvi kwenye habari hadi wanaharibu. Usikute Profesa wala hajaahidiwa kitu. Tutumie tu lugha ya busara kuwarekebisha. Thanks.
Jamaa linaomba-omba tu hadi limejikuta linaomba kudumaza akili watanzania,
Hivi ule mpira wa umeme jk aliokua akiucheza na oboma wakiwa wamevaa mokasini na suti nani mwingine amewahi kuuona phisically?
vijana wenyewe wanatambiana majina ya vyuo(waliopo vyuoni) unategemea kutatoka kichwa hapo??
Mkuu Elli halafu kuna Kada mmoja wa chama cha wahuni akaandika hapa eti, "Neema hiyo inakuja" nikabaki kustaajabu tu. Hawa wa chama cha wahuni hawajui hata vipaumbele vya Watanzania ni vipi!!! Pamoja na kuwepo madarakani kwa miaka chungu nzima sasa.