Sihitaji Simu ya Android Nahitaji Teknolojia ya kutengeneza Simu ya Android

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,358
Reaction score
100,385
Nasema tena Magazeti yetu ni vichekesho, na habari zetu zinafurahisha kusoma hadi unafurahi, tangu nianze kufuatilia magazeti haya nimejikuta naishiwa nguvu na kuogopa maana kama hawa ndio Waandishi wetu na hizi ndizo taarifa zetu, nasema TUMEKWISHA!!!

Nimependezewa na kuvutiwa na habari hii ya kuletewa simu za ANDROID kwa kila Mtanzania ifikapo 2020. Nikajiuliza faster maswali haya yafuatayo;

  1. Yaani safari nzima ni kwenda kutuletea simu za Android?
  2. Halafu watatuletea na vipuri vyake?
  3. Hivi teknolojia inavyobadilika hadi 2020 tutakua kwenye hali gani?
  4. Hivi Profesa alishindwa kuwaomba watuletee teknolojia ya Ujenzi wa Simu kweli?
  5. Hizi simu zitakua zinajichaji zenyewe? Maana ukweli ni kwamba eneo kubwa halina umeme

Kwa mtazamo wangu mimi, ni vyema Profesa Jk akaomba Makampuni yatupatie Teknolojia ya kutengeneza Simu kuliko kutuletea Simu.
 
Kwa methali tunazijua sana lakini maana zake kwa undani hatuzifauatilii, MPE ndoano sio samaki, nchi hii ina vichwa lakini vimejaa maji 2020 ilikuwa tutengeneze sio tupewe hivi tutakuwa tunapewa tu miaka yote, kwanini serikali isitume vijana huko mpaka hiyo 2020 wakarudi na ujuzi wa kutengengeza hizo android
 
vijana wenyewe wanatambiana majina ya vyuo(waliopo vyuoni) unategemea kutatoka kichwa hapo??
 
Vitimbwi haviishi kila siku jipya lisilo na maendeleo, hapo naona ukweli buddy

wapo wahitimu na shahada zao mitaani lakini kichwani ipo nadharia tu hawezi kuibadili kwa vitendo na anajisifu kasoma chuo kikuu
 
Niliposikia hii habari nilijiuliza maswali mengi, au tunaweza kupata mfano wa nchi gani duniani walipata ''msaada'' kama huu kabla yetu??
 
Nasema tena Magazeti yetu ni vichekesho, na habari zetu zinafurahisha kusoma hadi unafurahi, tangu nianze kufuatilia magazeti haya nimejikuta naishiwa nguvu na kuogopa maana kama hawa ndio Waandishi wetu na hizi ndizo taarifa zetu, nasema TUMEKWISHA!!!

Nimependezewa na kuvutiwa na habari hii ya kuletewa simu za ANDROID kwa kila Mtanzania ifikapo 2020. Nikajiuliza faster maswali haya yafuatayo;

  1. Yaani safari nzima ni kwenda kutuletea simu za Android?
  2. Halafu watatuletea na vipuri vyake?
  3. Hivi teknolojia inavyobadilika hadi 2020 tutakua kwenye hali gani?
  4. Hivi Profesa alishindwa kuwaomba watuletee teknolojia ya Ujenzi wa Simu kweli?
  5. Hizi simu zitakua zinajichaji zenyewe? Maana ukweli ni kwamba eneo kubwa halina umeme

Kwa mtazamo wangu mimi, ni vyema Profesa Jk akaomba Makampuni yatupatie Teknolojia ya kutengeneza Simu kuliko kutuletea Simu.

Hii mada yako inaudhi watu wewe.!!!

CC: MwanaDiwani Simiyu thatha Lizaboni FaizaFox Riz ...
 
Kwa nini asiwaombe watujengee Reli nchi nzima? aombe viwanda vya matairi ya magari vije vijenge hapa, viwanda vya samaki, nguo, nafaka nk. Naona kama vile anaogopa kuomba vile!! aombe vitu vikubwa!!

Aombe waje wajenge Hospitali za rufaa na za kisasa kila mkoa?

kwa kuwa hajui kuomba, tutarajie ombi la kitu cha ajabu muda c mrefu...
 
prof nahisi hajala ujana vizuri ndo maana anateseka uzeeni,tabia za kusafir,kubembea,kushindana kuwa simu kali,kubeba condom zote zinafall kwa vijana,abadulike atumie busara kuomba vitu naunga mkono hoja
 
dah! wengi tutakuwepo 2020 ?/na maradhi haya?/namuunga mkono mtoa mada!

MSD wanasema hawana dawa, Muhimbili bei ya kitanda kwa siku buku tano, yaani hapo umelala tu kama Guest regardless umepata dawa au lah. Halafu unakuja kupewa simu ya Android ucheze gemu.... Imekaaje hapo?
 
Kwa nini asiwaombe watujengee Reli nchi nzima? aombe viwanda vya matairi ya magari vije vijenge hapa, viwanda vya samaki, nguo, nafaka nk. Naona kama vile anaogopa kuomba vile!! aombe vitu vikubwa!!

Aombe waje wajenge Hospitali za rufaa na za kisasa kila mkoa?

kwa kuwa hajui kuomba, tutarajie ombi la kitu cha ajabu muda c mrefu...

Hivi zile Laptops kwa kila Mwanafunzi kule sijui ni Moshi zilishafika? Nimeuliza tu
 
Nasema tena Magazeti yetu ni vichekesho, na habari zetu zinafurahisha kusoma hadi unafurahi, tangu nianze kufuatilia magazeti haya nimejikuta naishiwa nguvu na kuogopa maana kama hawa ndio Waandishi wetu na hizi ndizo taarifa zetu, nasema TUMEKWISHA!!!

Nimependezewa na kuvutiwa na habari hii ya kuletewa simu za ANDROID kwa kila Mtanzania ifikapo 2020. Nikajiuliza faster maswali haya yafuatayo;

  1. Yaani safari nzima ni kwenda kutuletea simu za Android?
  2. Halafu watatuletea na vipuri vyake?
  3. Hivi teknolojia inavyobadilika hadi 2020 tutakua kwenye hali gani?
  4. Hivi Profesa alishindwa kuwaomba watuletee teknolojia ya Ujenzi wa Simu kweli?
  5. Hizi simu zitakua zinajichaji zenyewe? Maana ukweli ni kwamba eneo kubwa halina umeme

Kwa mtazamo wangu mimi, ni vyema Profesa Jk akaomba Makampuni yatupatie Teknolojia ya kutengeneza Simu kuliko kutuletea Simu.

Tukisema tuna rais mbumbumbu watu wanasema tunatukana haya sasa
Akili ndogo kuongoza akili kubwa manina zake
Kwa akili hzi watanzania tutaendelea kua maskini mpaka basi
 
Hapana Mpwa hatuhitaji kufika huko. Sometimes Waandishi wetu wanaweka chumvi kwenye habari hadi wanaharibu. Usikute Profesa wala hajaahidiwa kitu. Tutumie tu lugha ya busara kuwarekebisha. Thanks.
 
msd wanasema hawana dawa, muhimbili bei ya kitanda kwa siku buku tano, yaani hapo umelala tu kama guest regardless umepata dawa au lah. Halafu unakuja kupewa simu ya android ucheze gemu.... Imekaaje hapo?

.............sina mbavu...
 
Back
Top Bottom