Teh me mwenyewe Nipo nje ya umri. Kwa kweli mission yako ya uhazini is impossible teh. Try somewhere else[emoji133] [emoji133]Yaani hiki kitoto huwa kina mdomooo, sijui hata ilikuwaje nikakuajiri!! Haya hayakuhusu mtoto mzuri, yako nje ya umri wako, sawa mama?
Katotoo umeniita..Wataka nn mamie??..tok tu mi
Teh me mwenyewe Nipo nje ya umri. Kwa kweli mission yako ya uhazini is impossible teh. Try somewhere else[emoji133] [emoji133]
You already knows what i want, so better give it to me.
Ntakupa tukiwa vacation dubeyi
Mweee mtakuwa mmempiga mateke chura. Niozesheni tu nikajilie zangu raha za "peponi" kwa uhuruUko nje ya umri wakati unananiliu kila siku na bwana paulo, ndio tunakuozosha sasa ukafaidi vizuri.
Mweee mtakuwa mmempiga mateke chura. Niozesheni tu nikajilie zangu raha za "peponi" kwa uhuru
Nyani Ngabu bwana!! We hujaona mada ina kingreza chepesi?
Come on Totoz....my English is not that difficult to comprehend.
Khaaah wenzio ndio tumetoka kwa ras simba sasa hayo mengine hajatufundishapo!! Hebu tuoneane huruma basi.
Sasa dubei si mpaka uchaguzi upite? Si nitawehuka mwenzio!!
Teh teh...Basi ntakupa nusu ths weekend..Jiandae basi
Ni Kweli haya mambo yapo sana tu kwny jamii zetu,Ila kikubwa ni kujitambua,na kumsoma huyo mpenzi wako .Na ukigundua anatabia zinazoendana na hizo hapo juu plz usiwe kipofu wa mapenzi you have to move on!! Usiache mapenzi yakutawale.
Najaribu Kuwakwepa sana wanawake wa aina hii na Hata inapotokea nimeanguka kwenye mikono Yake kwa kutokujua siku nikigundua Makitu au kuona Dalili tu, basi natafuta sababu isiyo na macho wala miguu kujiweka kando.
NB: NAJUA UNASOMA HII COMMENT LAKINI SIKUWA NA JINSI KWA KUWA 90% KILICHOANDIKWA WEWE UMEBEBA VYOTE.
Aisee!!! Hii ni moja ya mbinu Hatari Sana Mkuu, hakika ningekuwa na hilo wazo la huo mkakati nahisi mpaka sasa humu ndani ningewindwa kama Bavicha wanavyokesha wakikiweseka na tume ya UchaguziNyie ndio mnawadekeza hawa. . . . .Yaani kuondoa shida maishani mpaka utafute sababu??!?
Akipiga na shida zake za kitamaa mwambie uko busy sana ila unaelekea supermarket X so aje hapo mtaongea na kumaliza mengine. . . . .After a while mtumie list ya vitu unavyotqkq mwambie aanze kukusanya ili ukifika ulipe fasta umoe cash yake we uende na zako. . . .
.
.
.
.
Muache akusanye mpaka watangaze wanafunga duka
.
.
Expect matusi mengi saana na kashfa lakini shida inakuwa imeshia hapo na umesaidia wanaume wenzio kuondoa hiyo kero. . . .,
Ashakum si matusi. . . . . ., huwa sielewi kabisa kwa nini mtu anayefanyiwa haya yote bado aitwa MWANAUME. . . .. inahitajika classification zaid