Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,079
Signs zote hizo halafu bado upo naye hapo nitaamini kweli 'juju' na limbwata zipo
Teh teh..u are welcome bro
Teh teh..Mada imekuchoma lol..Hivi ipi isiyokuhusu hapo?Nitakusaidia kutunza hiyo mahari.
Kuhusu mada hata sijaelewa.
Nitakusaidia kutunza hiyo mahari.
Kuhusu mada hata sijaelewa.
Teh teh..Mada imekuchoma lol..Hivi ipi isiyokuhusu hapo?
Hahaha atoto na mission imposible ya uweka hazina
Ila Paulo Sergio De Souz una visa sana wewe.... kulikuwa na haja gani ya kushtua wenzio???
Nitakusaidia kutunza hiyo mahari.
Kuhusu mada hata sijaelewa.
Mie mpaka sasa hata sielewi lengo lake kabisaaaaa.
Yaani mie ni muweka hazina mzuri sanaaa tena muaminifu, nijaribu uone.
Khaaaa hiyo mahari ya nani unayotaka kuitunza?
Nyani Ngabu bwana!! We hujaona mada ina kingreza chepesi?I'm looking for a couple damsels to take advantage of me.
Any takers....?