Signs she is taking advantage of you

Signs she is taking advantage of you

Uzuri wao ni ma artist, ni wazuri, ukimjua basi inakuwa tamu mno... Anatengeneza na wewe unatengeneza .... Pia unaweza bargains kama mizinga itakuwa ni on the next level...

Nishawahi kukutana na wa hivyo... Calls and texts zake ni mwisho wa mwezi..cha ajabu wote mnafanya kazi ila virungu ni must...
 
Last edited by a moderator:
Ndio nini anafungua watu!! Na ole wake waamke!



Not you!! Nahitaji watu kama Kaboom, wewe tutasumbuana maana ni mission impossible mwenzangu

Mnaharibu huu uzi, kutongozana kule pm!
 
Last edited by a moderator:
Ashakum si matusi. . . . . ., huwa sielewi kabisa kwa nini mtu anayefanyiwa haya yote bado aitwa MWANAUME. . . .. inahitajika classification zaid

Kuna kuwa poosey-whipped bro, you know that. Ndio kinachowakuta jamaa wengi.
 
Mweee mtakuwa mmempiga mateke chura. Niozesheni tu nikajilie zangu raha za "peponi" kwa uhuru

Hivi wewe mama yako ni nani? Kaboom kuja uniambie maana namuona baba tuuuuuu!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom