Signs of Victory

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Je, wenge walidhani chama kimejijenga mijini tu, na hapa sasa ina maana gani? Je, ni 'pigo' la mwisho???? cdm.jpg
 
inatia sana moyo , nadhani 2015 mambo yatajipa, CDM ndo tumaini la watanzania
 
Dr. wa ukweli alishatuahidi tukiichagua Chadema basi tutaondokana na kuishi kwenye nyumba za Tembe!

Kweli lakini jamani?! Isije ikawa haya haya tunayoyaona............then wapi tutakimbilia?
 
inatia sana moyo , nadhani 2015 mambo yatajipa, CDM ndo tumaini la watanzania
wanaobeza wanadai kuwa Watanzania ni wajinga na wanaogopa machafuko na wamaamua kutumia hiyo kama mtaji lakini wanasahau kuwa ujinga sio ulemavu, wakati wowote watapata uelewa na watakuwa hawakubali kanga na skafu pamoja na pilau zao! Na kwa taarifa yako wakati ni huu

 
Dr. wa ukweli alishatuahidi tukiichagua Chadema basi tutaondokana na kuishi kwenye nyumba za Tembe!
ni theory ngumu kuikubali lakini watu wengi wanaozuia mabadiliko wanajua wanachokiogopa, ni madambi yao na wanzaogopa yataibuliwa kama CAG alivyoibua ambayo inakadiliwa kutofika hata 1% (less than '<') ya uozo uliopo.
Naweza kukuakikishia mchana kweupe, ukipunguza ufisadi kwa 40% tu, asilimia kubwa ya Watz wanaweza kuneemeka kwa kipindi kisichozidi miaka 3-4 na tatizo litakuwa kwa wale wenye maghofa zaidi ya 5 (ambao wanaonekana kuwa na roho mbaya sana japo hawawezi lolote katika kutumikia viapo vyao) kubakiwa na 5 (may be) na V8 saba kubakiwa na 2. Then utaona potential ya nchi hii imejificha wapi

 
Back
Top Bottom