Senorita23
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 389
- 489
Wanajf naomba kuuliza kuna kitu inanitatza et unapoambiwa signed application letter ambayo unatakiwa kuituma maybe kwa email au online system(soft copy)inabid hyo barua uifanyeje
Kumbe ngoja nijaribuType barua yako then ibadilishe kwa mfumo wa pdf kuna eneo la "pdf sign" chora sign yako then tuma inakohitajika
PDF sign and form fill unamalizaa kaziKumbe ngoja nijaribu