sigara

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Girl:unavuta sigara?
Boy:navuta
Girl:umevuta kwa miaka ngapi sasa?
Boy:miaka 10
Girl:kwa siku unavuta pakti ngapi?
Boy:3
Girl:pakti moja shilingi ngapi?
Boy:sh 600
Girl:kwahiyo siku 1 pakti 3 unatumia sh1800
Boy :ndiyo
Girl:sh 1800 mara siku 30(mwezi moja)
Boy:ni sh 54,000(kwa mwezi anatumia)
Girl:hiyo sh 54,000 mara miezi 12(mwaka 1)
Boy:,ni sh 648000(laki 6 na elfu 48 kwa mwaka)
Girl:zidisha mara miaka 10.
Boy:million sita na kuendelea
Girl:huoni usingevuta sigara ungeshanunua gari?
Boy:we unavuta sigara?
Girl:hapana
Boy:una gari?
Girl:hapana
Boy:pumbavu kweli.
 
Back
Top Bottom