Wanaume tuko tofauti...unaweza kuathirika na kitu ambacho mwengine hakimuathiru.
Ndivyo ilivyo kwa sigara,inaathari ya moja kwa moja kwa baadhi ya watu...Kama wewee unatatizo la hamu ya tendo la ndoa mpenzi wako hana shida sana wewe unatengeneza mazingirra ya kukwazana siku zote ili tu asidai haki yake...unakula unashiba,huumwi kwa nini ukose hamu ya sex
Kama unavuta sigara acha na uone mabadiliko ,amini nakwambia ndAni ya wiki hii utaon mabadiliko.
Mimi yamenikuta ,niliacha sigara nikafanya mazoezi..sasa napiga mashine si mchezo.
Nakumbuka siku moja karibu nife,nilivamiwa bafuni ikanilazima nifanye sex bafuni nilikosa pumzi .Sitosahau siku hiyo..Ndugu zangu achaneni na sigara mdumishe ndoa.Mwanamke anaweza kukusumbua sana ukaona hadi kero kwa kila kitu,ila sababu ni haki yake tu.
Tubadilike ili tudumu kwenye uhusiano.