Excellent kabisa, ni haki na wajibu wa kila binaadam kujua root yake, haijalishi ni nani au ni nini,Duh pole, kama mama hayupo tayari kukuambia muache.....peleleza kwa watu wengine
Kuna dada nae ni kama wewe, kalelewa na baba mwingine na jina anatumia la huyo baba alimuuliza mama yake kuhusu baba mzazi, mama kapata mshtuko, presha ikapanda, kakimbizwa hospital akafariki!!!!
Ila huku ni kuwadhulumu watoto, hata kama baba hakuchangia chochote mwambie tu mtoto, ana haki ya kumjua baba ake
Well done, anampata mrembo washapenda na hata kuzaa kabisa ndio anaambiwa oooh ni dada yako au aunt yako, aibu juu ya mkosi.Pole sana kwa situation iliyokukuta, it's very important to know your biological father, naamini ukiacha mama na baba lazima kuna mtu mwengine atakuwa na hyo siri either ndugu au rafiki zake wa karibu na mama, jaribu kupeleleza mdogo mdogo ukishindwa kabisa ur mother is only one to tell you the truth
Mambo ya ndugu kuoa ndugu yanatokeaga hivi hivi ni mbaya sana
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
True words, Pharaoh msome bwana Don hapa ametoa mada nzito aiseee,Mkuu Pharaoh_2 usirudi nyuma katika kumtafuta baba yako halisi ,ukweli utakuweka huru.
Nimesoma kwa makini karibia kila ushauri uliotolewa kwako. Wengi wanaosema usimtafute wanatoa sababu kuwa hakukutunza. Hii siioni kama ni sababu ya msingi kwa kuwa katika Uzi wako umetuambia baba yako (mzazi/halali) alijaribu kuwatafuta lakini akaishia kupigwa na kesi juu. Pengine hata kesi hii alishindwa kutokana na social status au rushwa alafu leo hii watu wanakushauri usimtafute babaako mzazi ambaye alipigana kukupata akishindwa nguvu!!!
Watu wengi wa dunia ya sasa wamekuwa very materialistic kiasi kwamba wanajali pesa na mali kuliko utu.
Bwana Pharaoh_2 usiache kumtafuta baba yako. Kwenye ulimwengu wa kiroho kuna mambo mengi yanaweza kukutatiza wewe mwenyewe au kizazi chako kama hutamjua baba yako. Madhara ya kiroho yanayoweza kutokea ni pamoja na watoto wa familia moja kuoana na matokeo yake mara nyingi huwa hasi.
Ni mtazamo tu.
The birds are angry coz the country is full of green piggiesBut why would the birds be angry?
Nawaza kwa sauti mkuu!
- KANA -
Ni kweli kabisa mkuuWell done, anampata mrembo washapenda na hata kuzaa kabisa ndio anaambiwa oooh ni dada yako au aunt yako, aibu juu ya mkosi.
Culture Gal.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]The birds are angry coz the country is full of green piggies
Sent from my E5306 using JamiiForums mobile app
Thanks Culture galTrue words, Pharaoh msome bwana Don hapa ametoa mada nzito aiseee,
your a great thinker.
Culture Gal.
Mkuu Pharaoh_2 usirudi nyuma katika kumtafuta baba yako halisi ,ukweli utakuweka huru.
Nimesoma kwa makini karibia kila ushauri uliotolewa kwako. Wengi wanaosema usimtafute wanatoa sababu kuwa hakukutunza. Hii siioni kama ni sababu ya msingi kwa kuwa katika Uzi wako umetuambia baba yako (mzazi/halali) alijaribu kuwatafuta lakini akaishia kupigwa na kesi juu. Pengine hata kesi hii alishindwa kutokana na social status au rushwa alafu leo hii watu wanakushauri usimtafute babaako mzazi ambaye alipigana kukupata akishindwa nguvu!!!
Watu wengi wa dunia ya sasa wamekuwa very materialistic kiasi kwamba wanajali pesa na mali kuliko utu.
Bwana Pharaoh_2 usiache kumtafuta baba yako. Kwenye ulimwengu wa kiroho kuna mambo mengi yanaweza kukutatiza wewe mwenyewe au kizazi chako kama hutamjua baba yako. Madhara ya kiroho yanayoweza kutokea ni pamoja na watoto wa familia moja kuoana na matokeo yake mara nyingi huwa hasi.
Ni mtazamo tu.
Kumlea mtu hakukufanyi umnyime haki yake ya msingi ya kumfahamu baba yake mzazi. Wangapi wamewalea watoto wa jinsi hii na bado watoto hao wamepewa haki ya kueafahamu biological parents wao?!!Mkuu nikushauri kitu ukitaka kuharibikiwa maisha yako yote jaribu kumsononesha huyo mjeda faza ebu jipime ni kiwango cha upendo kiasi gani alichokionesha kuwalea nyie ebu fikiria ndugu zake walichukuliaje alipomkubari mama yako na watoto juu ?
Utapoteza kila kitu time will tell you.
Nakuakikishia akisononeka tu huyo babamjeda aliyekubari kudharaulika kwa ajili yenu laana hizo hazitakuacha salama fikiri unachokitafuta mkuu.
Achana na hayo sema Mungu asante kwa yote go ahead.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Thanks ms molHicho kibabu ni kimbea sana tena kichonganishi
Kinaweza hata kuwa kichawi kwa nini kisingekuambia kila kitu!!!??
Mleta mada nimemjua my biological father nikiwa first year pale UDOM HE IS A USELESS MAN.. UKIMTAFUTA AFU UKAKUTA NDIO HUYU BABA YANGU UTALIA WAKATI UNA WATOTO...
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Umeongea ukweli japo kua sikuelezea kutoka mwanzo kuna mambo niliambiwa na yule mzee lakini sikuyatilia maanani labda kwa kua sijalelewa katika familia inayo amini mambo ya mizimu au anything that has something to do with witchcraft or spiritual commitments zilizofanywa au walizo kua nazo wazazi wetu halisi upande wa Baba (spiritual background)Mkuu Pharaoh_2 usirudi nyuma katika kumtafuta baba yako halisi ,ukweli utakuweka huru.