VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Mwanaume tafuta mwanamke ambaye anafanya haya mambo saba
1. Mwanamke ambaye anakuheshimu
2. Mwanamke anayejivunia kukupenda na kuonesha upendo wake kwako sirini na hadharani.
3. Mwanamke ambaye ni muaminifu kwako hata akiwa mbali na wewe
4. Mwanamke ambaye yuko tayari kujenga kesho yenu pamoja
5. Mwanamke anayekuona kuwa wewe ni Mfalme wake
6. Mwanamke ambaye anakushirikisha na kuhitaji mawazo na ushauri wako kama ishara ya kukuheshimu kabla hajafanya uamuzi wowote.
7. Mwanamke anayekuthamini.
Mwanaume usioe mwanamke kwa sababu ya muonekano wa maumbile ya mwili. Makalio makubwa, maziwa makubwa, hips kubwa, urembo, umbo nambari nane, chuchu saa sita, utaalamu wa kufanya ngono na vingine vingi vinapita lakini kirakachowabakiza pamoja ni moyo wa heshima, hekima na upendo. Nilivyovitaja ni muhimu lakini isiwe kigezo kikuu iwe ni nyongeza tu. Usiache kuoa mwanamke mwenye hekima kwa sababu tu hana kalio kubwa n.k.
Na hii ndiyo hekima ya Mwenyekiti wenu. Wanaume je mnakubali kuwa haya ndiyo yalikuwa maazimio ya kikako chetu cha wanaume wanaojitambua?
Wanawake kule mbele tunaelewana?