Sifa za wanawake wenye ndevu


mmh!!!
 

sio kweli hata kidogo.ni uzushi mkubwa huu, nina ushahidi wa kutosha kwamba wanawake wenye ndevu ndoa zao hazidumu tena hata kama mwanaume atajitahidi kuvumilia na kwa subira, ya kuishi na mwanamke mwenye ndevu bado matatizo ni mengi sana. Wewe chunguza mtaaoi kwako ama kijijini kwenu, je? Ni mwanamke yupi mwenye ndevu na bado anaishi na mumewe? Nijuavyo mimi mwanaume akimuoa mwanamke mwenye ndevu maisha ya huyo mwanaume huwa mafupi sana. Wanawake wengi wenye ndevu ni wajane wamefiwa na waume zao mapema. Kama huku kenya wanawake wenye ndevu ni wengi sana lakini waume zao walikufa baada yakuzaa nao watoto kama si mmoja ni wawili tuu. Je? Hakuna cha utamu wala utajiri ni kudanganyana tuu.mwanamke mwenye ndevu ni kifo cha mwanaume jaribu utakuja kuniambia siku hiyo tutakapo kuzika.
 
Mie niliwahi kusikia kwamba wanakuwa na bahati sana katika maisha. Mambo yao mengi (kama wakijikita kwenye elimu, biashara n.k) huwa na mafanikio sana. Wachache niliobahatika kuwafahamu niliona kimaisha kweli walikuwa na ngekewa.
 
mi naona ni imani..nawajua kama sita ambao wote niwauza kaya kitaa,sema wakorofi wanajifanya wanaweza kupambana na midume,ila ni ma fighter kweli
 
wanawake wenye ndevu ni a turn off to me...kwanza wengi wao sio wazuri..huwezi ona mwanamke mzuriiiii ana ndevu watakua wanazishave labda
 
Hawa wanawake wenye ndevu bwana nasikia ni wa tamu sana,wana kelele sana mkiwa mna-do,wanajua mapenzi ila sio ndevu za mkorogo ni zile original,pia ukiwa naye yaani wa kwako (wife) financially mambo yako yanaweza kukunyookea vibaya,nina mifano hai ya hilo ya wanawake wawili wenye ndevu waume zao wana hela chafu.
 
baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu. hiyo itakuwa familia ya kambale.
 
......jaribu utakuja kuniambia siku hiyo tutakapo kuzika.

Sasa ameishakufa na mnamzika atakwambiaje?? Maiti zinaongea???...au ndio teknolojia tena hiyo kama huyo mtoto aliekufa na akainuka akanywa maji kisha akafa tena.Hahahah!!!
 
Nawafahamu watatu wote mambo yao yako safi, ila wawili wako ktk ndoa zao mpaka sasa m1 ana watoto 3 na wa2 ana wa5 ila wamewashika masikio waume zao. Huyu m1 yeye aliachika akiwa na watoto wa2 ingaa yuko njema.
 
kwanza mwambie rafiki yako aangalie iko siku atakatwa kidevu jamaa wakajichukulie ndevu mbele ya safari!!siku nyingine akiombwa ndevu atoe taarifa polisi!
 
Mhh!!

Mbona mie nina ndevu na viji nywele kifuata na hata mustachi na niko poa tuu,Mwanamke kuwa na ndevu ni maumbile tuu wala hakuna utamu.uchungu wala nini
 

hilo ni kweli mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…