watamu haoooo!habari zenu wanaJf.....
Leo katika pita pita zangu tukakutana na jamaa ambae hatumfaham kabisa alimwangalia shost af akaanza kama utani vile,..dada nimependa hizo ndevu zako!..nikatie basi hata kamoja. Tukachukulia kama utani, heee kumbe jamaa alimaanisha akaanza kamganda shosti angu akimdai amkatie kandevu hata kamoja,....wengine wa pembeni walicheka na wengine wakitoa tafsir mbalimbali za mwanamke mwenye ndevu..
Naomba niwaulize wanajf nini sifa na tafsiri kamili kwa wanawake wenye ndevu?:confused2::confused2:
habari zenu wanaJf.....

wana nguvu hao.......huwezi kuta mwembamba hata siku moja ana ndevu
To be honest, wengi wenye ndevu original, sio zile zinazotokana na mkorogo, huwa wanakuwa na kingekewa sana cha hela, wote wa design hiyo ninao wafahamu wana hali nzuri sana ya kipato na wengi wao huwa wazuri na watamu sana kitandani. Kimsingi wanafanana sana na wale wanaoanza kupata mvi ujanani, wanawake wanaoota mvi ujanani na wengi mpaka sehemu zao za siri, huwa wanahela sana na ni watamu sana kitandani.