Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

1.wepesi wa kusamehe..

2.wanapenda ku please

3.wanatulia kwa mwanaume mmoja

4.wakipenda wanapenda kweli..

5.wepesi wa kuomba msamaha

6.sio wabishi

7.wanajua kudeka na kudekeza

8.watiifu.

9.hawaringi sana.

10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke

chagua mwanamke mnene......

Bosi mwenye mawazo ya KiTUMWA,inamana wanawake wote wanene wamezaliwa ivo? Wengine ni unene/wamenenepea ukubwani,iweje uorodheshe mambo zote kwa watu wanene namtu hata kuna wembamba wenye sifa izo.

Point to note:neno lako sio sheria,na hata kama ni sheria inaweza pitia marekebisho.sikubaliani na mada.

Bosi mwenye mawazo ya KiTUMWA,inamana wanawake wote wanene wamezaliwa ivo? Wengine ni unene/wamenenepea ukubwani,iweje uorodheshe mambo zote kwa watu wanene namtu hata kuna wembamba wenye sifa izo.

Point to note:neno lako sio sheria,na hata kama ni sheria inaweza pitia marekebisho.sikubaliani na mada.
Mhhhhhh kama limekuchoma vile, yani una kembamba halafu kabishi kanajidai kanaringa gubu na mengineyo pole mwanakili90

lol! atleast nimejua figure za baadhi ya wana jf na pia wapenzi wao through this post:becky:

The Boss kwa mimi nijuavyo hakuna mtu mwembamba wote wanene!!
So watu wote ni WANENE so wana hizo sifa.

Wanaopenda kubeba wake/girlfriend zao will go for not more than size 12. Wale wanaopenda kubebwa na wake/girlfriend zao will go for XXL. Kwa hiyo usipate pressure au unataka kunambia hamna wanaokutamani/kupenda?. Well baadhi ya wanaume wa kiafrika wanapenda kubebwa ndio maana wanapenda XXL. Wale waafrika wenye mapenzi ya kidhungu XXL kwao ni big no.
Mie mwembamba ina maana sina hizo sifa?

Wanawake wanene watamu sana ktk sita kwa sita! Wanajua ile mugongo mugongo style teh!

1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

Wewe au mke wako ni mwembamba au hujaoa wewe. Sifa ulizotaja bado nyiiingi kibao. wanawake wanene huwa hawatosheki na mume mmoja haswa akiwa hana nguvu za kumtosheleza na pia wengi wana katabia ka kuruka ukuta. Ukisafiri tu wiki 2 ukirudi si ajabu ukute jamaa keshahamia.

Wanawake wanene pia ni wachovu na mara nyingi kazi ngumu na za kufanya harakaharaka huwashinda

HAYO YOTE ULIYONENA NI KWELI TUPU MDAU, ila kwenye kusahau kwa kweli ni wasahaulifu sana....!!!

1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

11: Chakula cha ndoa je...? hapo ndo musumari ilipo...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom