Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

Mkuu hujakosea kabisa kuhusu sifa za wanawake wanene, ila umezisahau sifa zao nyingine ambazo ni:
- wachafu
- wavivu
- nguo haziwapendezi
- ngumi mkononi

kidatu unaua sana! eti wachafu na wavivu...mh cjui kama ni kweli usidhani kwa kuwa wanene basi watakuwa wavivu/wazito hata kujisafi wenyewe jamani loh mnawaonea sasa
 
umenikwaza
ningeshangaa kama usinge lalamika
lakini mimi nafikiri wembamba ni wazuri zaidi
kwanza wanamantain kwa hiyo bajeti haisumbui
2.ubishi wa ni wamabadiliko (bring challenge in daily life)
3.wepesi kufanya maamuzi na mengi ni makini
4.ila wakikufumania utakoma japo mwisho wa siku ukishuka wanasamehe
5.wanapenda kuargue na ndo mana tunawanasheria wengi wembamba
 
Maeneo ya joto msuguano aw minyama uzembe Huzaa harufu unless awe na high degree ya kujifanyia usafi na maperfume!
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

cdhani,coz,me
ni,mwembamba,na,hizo,qualification,ninazo,
apo,imekaa,vip
mkuu.?angalizo
no,research,no
right,to,speak.
 
Back
Top Bottom