Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

yaani ulijuaje? basi mwenzenu hizo ndio sifa nilizonazo na wanaume nilionao hawaoni wala hawasikii kwa raha wanazozipata kwangu tene hakuna alietamani kuniacha ila kila leo naona wanaongezeka tu kunifukuzia juu ya umri wangu kuwa mkubwa yaani ckujua kuwa wengi wanajua sifa hizo looh! mi niko na kijana wangu wa 25 years for years now hana mpango wa kubanduka ubavuni kwangu!
 
SO WANA MATATIZO YA KIAKILI, (MENTAL/INTELLECTUAL DISABILITY) MAAKE HII NI SIFA KUU KWA WATU WA AINA HIYO! nyingine ikiwa ni uelewa mdogo wa kufanya rational judgement!

i hope ''wanasahau haraka'' hilo tu!otherwise....
 
so wana matatizo ya kiakili, (mental/intellectual disability) maake hii ni sifa kuu kwa watu wa aina hiyo! Nyingine ikiwa ni uelewa mdogo wa kufanya rational judgement!

yeess????????
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

mhhhhhh!!!!!
 
Mmmh,lisemwalo lipo!Mi ni mmoja wao though sio mnene kiivo,saiz ya kati,ila sifa hizo ninazo..sijisifiii!duh ulotoa post hiii umetisha mbayaaa
 
mmmh,lisemwalo lipo!mi ni mmoja wao though sio mnene kiivo,saiz ya kati,ila sifa hizo ninazo..sijisifiii!duh ulotoa post hiii umetisha mbayaaa

kumbe na wewe umo?
Hauvumi lakini umoo?lol
 
ove big women. Oh, if you want to feel the heat you got to have the meat.....
Sio maneno yangu... Quotations from EXIT WOUNDS.....

Mimi Binafsi, I like them in any size its Okay...... Size does not matter
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

Mara nyingi mtu yeyote mnene ni mzembe mzembe, naona hapo juu ni character za wazembe. Samahani kwa nitakaowakwaza!!!
 
wanapenda sana kucheza taarabu hawa wanene.. Kitandani ni wazito sana!
 
wako huyo pia wanakula sana maana njaa kwao ni noma
Conquest-imaginary not real
 
uwongo je kama asha boko inakuwaje hapo umechemka au ndiyo goodmorning,
pia hao wanene wanakazi ktk t....ndo
 
yaani ulijuaje? basi mwenzenu hizo ndio sifa nilizonazo na wanaume nilionao hawaoni wala hawasikii kwa raha wanazozipata kwangu tene hakuna alietamani kuniacha ila kila leo naona wanaongezeka tu kunifukuzia juu ya umri wangu kuwa mkubwa yaani ckujua kuwa wengi wanajua sifa hizo looh! mi niko na kijana wangu wa 25 years for years now hana mpango wa kubanduka ubavuni kwangu!
Mxxxiiiiiiuuuuu
 
1.wepesi wa kusamehe..2.wanapenda ku please3.wanatulia kwa mwanaume mmoja4.wakipenda wanapenda kweli..5.wepesi wa kuomba msamaha6.sio wabishi7.wanajua kudeka na kudekeza8.watiifu.9.hawaringi sana.10.wanasahau haraka..... kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamkechagua mwanamke mnene......
Wanajua sana kusex, ni wepesi, wasafi na hawasumbui tuwapo faragha! Wanawake hawa ni wepesi wa kucope na stail yoyote wawapo ktk tendo la ndoa.. Huwapa furaha wapenzi wao!
 
Wanajua sana kusex, ni wepesi, wasafi na hawasumbui tuwapo faragha! Wanawake hawa ni wepesi wa kucope na stail yoyote wawapo ktk tendo la ndoa.. Huwapa furaha wapenzi wao!
Gagurito na wewe unapenda vinene eeeeee
 
Back
Top Bottom