firstlady..
ukichukua wanawake kumi wanene
unakuta wanatabia zinazofanana...
na ukichukua wembamba kumi utakuta
the same,wembamba hasa tabia ya kuwa selfish.......
Wanawake wanene......
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
ukiwacheat husamehe upesi....
Source: the Boss..(2010)
1.Kama source ya findings ni wewe mwenyewe..mhhh nakuvulia kofia... utakuwa wote hao umewa subject to the same experience with you....... hadi ukafikia tamati kuwa wanene wako hivi na wembamba wako vile.
sidhani kuna mtu atavunja rekodi hii ispokuwa wewe mwenyewe.
2. Few questions out of curiosity..
a. Hiyo sample yako ilikuwa ya wanawake kutoka wapi - Tanzania tu, Afrika, weusi tu, wenye umri mdogo au wa kati au wazee, wenye uwezo au maskini, waliosoma au wasiosoma, etc... hii ni muhimu kujua kama kweli hili hitimisho ni sahihi.
b. Huu utafiti wako ulichukua muda gani hadi ukapata findings
c. nashawishika kukuuliza mengi lakini niishie hapa kwa sasa.