cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
no comment, ngoja my shemeji @Kaizer aje anijibie lol!:biggrin1: sidhani coz 90% ya wanawake wa kibantu wana ushepu labda ka we mnyalu :happy:
no comment, ngoja my shemeji @Kaizer aje anijibie lol!:biggrin1: sidhani coz 90% ya wanawake wa kibantu wana ushepu labda ka we mnyalu :happy:
worrrrrrrrddddd! tena hujituma kiukweli c utani lol!Cacico, kumbe siko peke yangu.
Lakini wakati mwingine inategemea na kiasi cha unene. Obese women karibu wote ni wachovu, ila wale 'thick' wengi wanakuwa poa na watamu sana! Thick wanaweza kujituma hata kwenye 6x6. Wakati mwingine supu bila minofu hainogi.
Kila mtu anavutia kule alikopagawishwa!!!!!!!!!!!!!!!! Inaonyesha unamiliki Mamaa Africa type!1.wepesi wa kusamehe..2.wanapenda ku please3.wanatulia kwa mwanaume mmoja4.wakipenda wanapenda kweli..5.wepesi wa kuomba msamaha6.sio wabishi7.wanajua kudeka na kudekeza8.watiifu.9.hawaringi sana.10.wanasahau haraka..... kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamkechagua mwanamke mnene......
no comment, ngoja my shemeji @Kaizer aje anijibie lol!
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
wee mnene?
Who Told you kwamba I like hiyo shepu yako nyembambame co mnene and i dont like to be mnene always i keep my figure in gud shape and my man like they way i look.
Who Told you kwamba I like hiyo shepu yako nyembamba
Waambie hao hao walioku-PM, mi na wewe tunaujuwa ukweli.......... teheeee.teheeeeeeeur not my man Ngalikihinja usinianzishie zogo humu jf maana toka utume hii post hizo private msg ninazopata mmh!
Waambie hao hao walioku-PM, mi na wewe tunaujuwa ukweli.......... teheeee.teheeeeeee
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......