Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
Wakifanikiwa kupunguza uzito na kuwa si Wanene bado wanakuwa hivyo hivyo?
Na wale Vimodo wakishakuwa wanene, je wanakuwa na tabia kama za wanene?