Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

yeah mwembambaaa kiasi bt mmmh n kama niko kwenye transition hv

bt nna baadh ya hzo tabia ingawa sio mnene.......

labda wahitaji kulishwa unenepe lol
 
Hayo yote ni bure Muhimu ni Utamu, Siwapendi wanawake wanene sijisikii raha
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
 
Hongera sana The Boss kwa kuwatetea wanawake wanene.

Baadhi ya hizo sifa kweli wanazo, but sio zote, Eg kumbukumbu, i see nina kumbukumbu vibaya mnooo lol.
 
Yeah thus true!
Big up fat ladies just make ur self looking good all the time!
 
imagejpeg
 
VILE VILE WAVIVU, NA HAWANA AKILI SANA, NDIO MAANA USAU sau. Kazi za kiume hawawezi kuzifanya.
chunguza tu utaona wanawake wanene akili zao % 50 zimeenda na maji. Akili zao zipo kufikiria kula tu na sex zaidi.
 
VILE VILE WAVIVU, NA HAWANA AKILI SANA, NDIO MAANA USAU sau. Kazi za kiume hawawezi kuzifanya.
chunguza tu utaona wanawake wanene akili zao % 50 zimeenda na maji. Akili zao zipo kufikiria kula tu na sex zaidi.

wewe ni mwembamba bila shaka lol
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

eeeh haya The Boss
 
Back
Top Bottom